Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
1st half we were real luck indeed. Error ya TAA (back pass to Mbeumo)
Matip (foward pass but to opponent)
wangezitumia vizuri hali ilikua tete kwetu.

Nilijiuliza mbona hii brentford tofauti sana hawa press hawana intensity. Remember 3-3 1st round match vs Chelsea?? they were story indeed.

Klopp achange karata vyema combo ya hendo na millie itamuangasha na kutuumiza.
Match vs Arsenal give Minamino chance atleast 60-70 min upfront he has something to give us.

This would have been time for Harvey Elliot if he had not injured ...

Best of luck to the boys.. We only need three points and goals.

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
Tofauti ya Henderson, Milner na Jones, Ox na Takumi ni kwamba hawa vijana ni forward thinking muda wote wanawaza kupeleka mashambulizi mbele hivyo kuwa pin wapinzani kwenye half yao hata pale tukipoteza mipira kwa vile tunakua upande wa upinzani basi fasta tunakua aggressive ku press na kupata mipira muda mwingi jana hii ndio mbinu ilitumika kwa Brentford hawakupata muda kupanga mbinu za kutuumiza tofauti na ile mechi ya nyumbani kwao we were all over the place...

Tunavyocheza high line back line kama hii ya Klopp silaha kuu ni kutopoteza mipira hovyo ili kupunguza kaunta na presha kwa Fabinho na back line. Na pale tunavyo misplace pasi immediately wachezaji wanakua chap ku react to win back the balls..

Gemu ya Arsenal we were bossed pale kati hatukua progressive enough kuwa press Arsenal. Decision making was poor yaaani.

Jana Jones na Ox Chamber were the difference.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom