Wangekua ni wachumba kwenu mngepigwa in and out? Shame on you.Sisi siyo wachumba wa Liver...
Huyo city tunammudu ni suala la muda tu kabla hatujamfukuzisha kipara kazi kwa kipigo cha aibu.
Haya makombe madogo tunamuacha ajidai nayeWangekua ni wachumba kwenu mngepigwa in and out? Shame on you.
Ndio visingizio mlivyo baki navyo, mnamuachia wakati mlijinadi mnachukua EPL [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya makombe madogo tunamuacha ajidai naye
Watupange naye UEFA
Tunachagua makombe ya kuchukua. We ujile match 38 wakati Kuna match 12 tu ambazo zinakupa kombe Lina heshima kuliko hizo 38?Ndio visingizio mlivyo baki navyo, mnamuachia wakati mlijinadi mnachukua EPL [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The rise and fall of OllaChuga OcNinyi matakataka vichezaji vyenu vyitatu vyilipata korona mukaishia kuairisha mechi🤣🤣🤣 ..mungepatwa na wachezaji karibu tisa kama sisi Chelsea..nina uwakika hii timu ingeisha jiondoa epl.
Sisi wanaume pamoja na majanga yote hayo bado mbungi linapigwa kama kawa na Leo angalieni tunamnywa supu bila kumchemsha huyu Brighton.
#CFC💙💙💙
Huna uwezo wa kumfunga Brighton jiadae kukimbia humu kama kawaida yako.Ninyi matakataka vichezaji vyenu vyitatu vyilipata korona mukaishia kuairisha mechi🤣🤣🤣 ..mungepatwa na wachezaji karibu tisa kama sisi Chelsea..nina uwakika hii timu ingeisha jiondoa epl.
Sisi wanaume pamoja na majanga yote hayo bado mbungi linapigwa kama kawa na Leo angalieni tunamnywa supu bila kumchemsha huyu Brighton.
#CFC💙💙💙
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu mwamba kwanza sidhani kama huwa anaangalia mechi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]The rise and fall of OllaChuga Oc
Soon utarudi kwenye machimbo yako
Jamaa atapotea huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna uwezo wa kumfunga Brighton jiadae kukimbia humu kama kawaida yako.
YNWA