Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Aiache nchi ya asali na maziwa aje jangwani...Huyu dogo msimu ujao lazima tumbebe
Hahahaha.... Na man UTD ana jeuri ya kuongea kwenye majukwaa ya watu.Msijikaushe man utd tuko uwanjani tunatoa sharubati ya fotbol
TunajiaminiHahahaha.... Na man UTD ana jeuri ya kuongea kwenye majukwaa ya watu.
Si kuna jukwaa lenu? Sasa we unataka habari za Man U zijadiliwe hapa ? 😂Msijikaushe man utd tuko uwanjani tunatoa sharubati ya fotbol
Klopp amegoma kabisa kuijaribu ile comb ya Vvd na Gomez tena.
Ile combination ilikua fantastic sana.Klopp amegoma kabisa kuijaribu ile comb ya Vvd na Gomez tena.