Nazani leo umeona lost mainiFirmino na Jota watoe maana walicheza utumbo game ya Arsenal.


Leo mmeotea kunguni nyinyi.Nazani leo umeona lost maini![]()
Duncan huwa ana vibe mno.Baada ya kipigo cha jana Norwich ilikungua ngumu kumeza.
Sasa ndio utaona yule kocha wao wa muda Duncan Ferguson atakavyomsha hawa jamaa utegemee ushindi tu.
YNWA
Kopites naona wamempigia songi lake pale Anfiled dakika za mwishoni
Hahahha pole..Leo mmeotea kunguni nyinyi.
Tulimpaga u interim pale darajani akatupa EUROPA.Ana laana ya kumuuza Alonso huyo,mpaka Leo kila timu akienda anafukuzwa ata timu iwe na kila kitu kama inter milan ya 2010 walichukua makombe yote na wachezaji hakuna kuondoka hata mmoja bado alifukuzwa.
Amesahau kufundisha baada ya kumuuza Alonso baada ya hapo hajawahi kuwa kocha mzuri.
Kabisa ndugu tetesi ni kwamba alitengeza makundi ndani ya klabu na akaanza kuja kivingine ionekana kana kwamba karidhi matatizo yote walionayo pale Everton..Duncan huwa ana vibe mno.
Everton players nadhani walishindwa ku cope kumpoteza Carlo.
Carlo anakuaga na father-son relationship na wachezaji.
Rafa ni completely the opposite.