Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Here we come. Hendo in again 😂😂 Captain Marvelous View attachment 2083771
Hivi Elliott akirejea na Thiago bado huyu Le Kapteni bado kweli na kuboronga kule ataedelea kupata namba.

Nafasi ya nne inatuita kwa nguvu sanaaaaa....

Niliona ile mechi ya Carabao kuna muda gemu ilisimama Klopp akawa serious anatoa maelekezo kwa Henderson haha nakajiuliza like serious yaaani Henderson ndio anapewa mbinu za kuwachana solid Arsenal hahaha huyu mzee sijui uzee au hua anapagawa nini..

Hivi kwa nini kipindi kile Rodgers alishindwa kumuuza huyu dogo haya yote yangeisha hata kabla Klopp hajasaini Liverpool. Sijui Rodgers alikwama wapi kumpiga bei.

YNWA
 
images (3).jpeg

Mzee wetu lazima anatumia msuba.
 
Hahahahaha huyu bwana neno Lucky ndio mfano halisi.

He must be the luckiest lame duck out there...

Am positive hata Norwich hapati namba huyu.

Kitu hua nampedea tukiwa kikosi kamili ni kusimama kwenye channels na kuruhusu tempo on the flanks especially upande wa TAA yaani kwa hilo kwa vile na mwili anao basi analifanya vyema sana otherwise sioni kingine cha kumsifia.

YNWA
Uchawi upo!
 
Hahaha huyu na Anceloti hawachekani ujue.

Dakika 28 shot on target nadhani ni moja.

YNWA
Huwa tunashindwa kufurukuta vs low block formations. Sio mara moja angalia vs Chelsea first round, vs Man U after Pogba's red, last Thursday vs Arsenal and many others. Teams ziki park huwa tunakuwa clueless na mzee wako huwa hana solution huwa anasubiria bahati tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom