Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa washapoa hivi Kipara ndio kawaacha pointi 13 ujue hahaha ama kweli mambo yamebadilika.

Kipara ni bingwa mtarajiwa ni suala la muda mbio zitangwe upya ni 2 3 4..washindani wa hizo nafasi ni Liverpool, Chelsea, Arsenal, Tottenham, Manchester United nk.

YNWA
Tafadhali mkuu,,watoe hao nyumbu hapo kwenye hiyo list ya top 5😂😂😂
 
Mkuu key pleyaz wetu wengi hawapo tofauti na shityee ambayo wamekamilika Kila idara. Ivyo tukubali Leo chama kubwa bingwa wa UEFA NA/AU EPL 21/22 CHELSEA FC imepata kipigo Cha kuunga unga .Sana sisi tungekuwa fully mkoko aise pep angetafuta pa kutokea.
#CFC
 
Genius inategemea na mazingira... anaweza kua genius ila nyuma ya kipara.

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
Kipara ni perfectionist yaani ana demand nidhamu, uvumilivu uwanjani hana papara, ukitazama walivyopata ushindi kwa Arsenal na Chelsea utaona hiki kikosi kimetulia mno wao wanacheza mpira wao wanajua tu watapata nafasi wana uvumilivu mpaka pale hali ikirushu hawa panic wala kusahau majukumu yao. Kwa vile ana kikosi kimesheheni vipaji basi anajua vijana watapambana kumaliiza kazi.. Hii ndio tofauti ya Kipara na Klopp.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom