Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha wewe jitahidi upate press conference yake moja siku tumetoa sare ama kipigo..Heee!š¤£š¤£šš
Kumbe ndio huwa anasema hivyo?
YNWA
Hahaha wewe jitahidi upate press conference yake moja siku tumetoa sare ama kipigo..Heee!š¤£š¤£šš
Kumbe ndio huwa anasema hivyo?
Ntacheka sanaš¤£š¤£š¤£Hahaha wewe jitahidi upate press conference yake moja siku tumetoa sare ama kipigo..
YNWA
Kagongwa nje ndaniOllachuga Oc bure kabisa nani haogopi Chelsea sasa umejibiwa na Kipara..
YNWA
Kipara ameamua kulipiza kisasi.Kagongwa nje ndani
Yani Home na Away Chelsea wamepiga short on target 1 tu aisee.Ollachuga Oc bure kabisa nani haogopi Chelsea sasa umejibiwa na Kipara..
YNWA
Kipara sio mtu powa kabisa. Ana hasira kukosa Champions League akipigwa na Chelsea hivyo hapa leo ana furaha kama zote.Yani Home na Away Chelsea wamepiga short on target 1 tu aisee.
Ollachuga Oc kashajipiga ban humu kimyaaaaaa.Kagongwa nje ndani
Yani Home na Away Chelsea wamepiga short on target 1 tu aisee.
Loading haha Bowen weka mpunga £20m wape na Origi maliza hii maneno chap...
Mtegemee kusikia Klopp akisema ni usajili mpya huu Hahaha....

Mtegemee kusikia Klopp akisema ni usajili mpya huu Hahaha....
YNWA
kabisa mkuu.Huyu jamaa sijui yuko wapi aiseeeOllachuga Oc bure kabisa nani haogopi Chelsea sasa umejibiwa na Kipara..
YNWA


