Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona waandishi wanataka Klopp azungumzie kuhusu usajili jamaa anakwepa maswali kisiasa.

Azungumze ukweli ni upi?

1.Ni yeye hataki kusajili
AU
2. FSG ndio hawataki kumpa fungu.

Kila siku anasema tunawachezaji wengi wazuri, sio lazima tusajili kama wengine n.k.

Villa sio wasaka mataji lakini wamesajili wachezaji senior
Digne
Coutinho (kafunga na katoa pasi ya goli)

Henderson James Pearce hua anamtetea sana Henderson na kumponda Keita ila siku hizi kawa kimya hana cha kumsifia Hendo.

Ox
Hendo
Milner (huyu ni umri tu)

Hawa ni wachezaji wa dk 15-25 tu ni wachezaji wa carabao huko.

Nahodha hauna muda wa kuibeba timu .?? Henderson bado hajalifuka jina la Stevie G kwenye unahodha licha ya kubeba four major trophies na ambayo Stevie G hakulibeba, kutokana na hajitoi wakati timu ikimuhitaji na hana kipaji kama kwa Stevie G ilivyokua.

Bowen
Bissouma
Rafinha
Kevin Phillips

Chukua wawili hapo and Problem solved.

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Ollachuga Oc bure kabisa nani haogopi Chelsea sasa umejibiwa na Kipara..

YNWA
Mkuu key pleyaz wetu wengi hawapo tofauti na shityee ambayo wamekamilika Kila idara. Ivyo tukubali Leo chama kubwa bingwa wa UEFA NA/AU EPL 21/22 CHELSEA FC imepata kipigo Cha kuunga unga .Sana sisi tungekuwa fully mkoko aise pep angetafuta pa kutokea.
#CFC💙💙
 
#CFC
Umeona kipara alivyochakaza matakataka?
 
Mkuu key pleyaz wetu wengi hawapo tofauti na shityee ambayo wamekamilika Kila idara. Ivyo tukubali Leo chama kubwa bingwa wa UEFA NA/AU EPL 21/22 CHELSEA FC imepata kipigo Cha kuunga unga .Sana sisi tungekuwa fully mkoko aise pep angetafuta pa kutokea.
#CFC💙💙
Kumbe ukiwa pungufu inaruhusiwa upigwe ila sie tukiwa pungufu tukifungwo ama sare inakua maneno...

Upo sahihi tangu ameumia Ben na James kuna shinda kubwa sana na kwa vile Thomas anakua vizuri akitumia wing backs basi uwe na utulivu ama badili mfumo..

Pole sana Kipara hana huruma aisee najiuliza mechi yetu tunamfuata Ethad itakua aje 😂😂😂..

YNWA
 
Huyu me ndio namkubali,anauweza sana dogo.£20m hawezi kukubali hapo ndio wasiwasi wangu.
Hapa inabidi Edwards afanye kama kwa Jota aidha awape Origi na ela ama Phillips na ela ama wote wawili na ela kwa vile sasa FSG kutoa ela hii hawatoi mpaka pale mchezaji atauzwa...

Tungempata hii January kwa £30m ingekumbalika lakini wakisubiri June 2022 sio tu Liverpool mbali hata Manchester United, Chelsea, Manchester City, Arsenal bei yake itakua £50m+..

Kazi ipo.

YNWA
 
Yule jamaa mwenye jina kama namba ya simu yuko wapi??🤣🤣😂😂
Leo nawaita wote wazoe takataka lao la kuitwa chelsea
 
Aje azoe hii mitakataka yake michelsea😂😂😂😂😂😂
Hawa washapoa hivi Kipara ndio kawaacha pointi 13 ujue hahaha ama kweli mambo yamebadilika.

Kipara ni bingwa mtarajiwa ni suala la muda mbio zitangwe upya ni 2 3 4..washindani wa hizo nafasi ni Liverpool, Chelsea, Arsenal, Tottenham, Manchester United nk.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom