Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Kumbe Klopp kuna muda anakuwa vyombo eeh huyu mzee!😒Hahahaha Henderson na Milner ni hand picked na Klopp wala aliewapigia kura.
YNWA
Kumbe Klopp kuna muda anakuwa vyombo eeh huyu mzee!😒Hahahaha Henderson na Milner ni hand picked na Klopp wala aliewapigia kura.
YNWA
Hata wachezaji nao wanachoka..Misim mitatu hujasajiri alafu utake performance nzuri ya wachezaji siniuzwazwa huo?
Wakome!Hahaha mara utasikia upepo, barafu, refa yule, VAR, nk nk
Huyu aache visingizio aseme ukweli kukosa kusajili misimu mitatu iliyopita imetugharimu haya ya sasa aache bla bla..
YNWA
Utashangaa na hii tukadraw tena🚮
Inshort kwa sasa bila Mane na Salah hamna kitu tutakacho kifanya.Hata wachezaji nao wanachoka..
Wasifikiri wao ni maroboti kwamba watashinda muda wote.
Tuki draw tena siangalii mechi ya Liverpool tenaUtashangaa na hii tukadraw tena![]()
Na hakuna tunachofanya kwenye kufunga.Inshort kwa sasa bila Mane na Salah hamna kitu tutakacho kifanya.
Mimi tangu juzi siangalii tena.Tuki draw tena siangalii mechi ya Liverpool tena
Et Chamberlain ndio Right wingerNa hakuna tunachofanya kwenye kufunga.
Bora hata angekuwepo mmojawapo






Hii timu sometimes inachekesha😂Et Chamberlain ndio Right winger![]()
Ndio hapo ndugu...Misim mitatu hujasajiri alafu utake performance nzuri ya wachezaji siniuzwazwa huo?
Hahaha Lady Liverpool usiogope bhana ukute kesho watabahatisha ushindi...Wakome!
Sasa hivi timu ilivyo yaani hata kuangalia mechi naogopa😔
Yaani timu yetu imefikia hatua ya kuanza kubahatisha kweli!😀Hahaha Lady Liverpool usiogope bhana ukute kesho watabahatisha ushindi...
YNWA
😂😂😂😂😂😂😂😂Noma sanaaa...Kumbe Klopp kuna muda anakuwa vyombo eeh huyu mzee!😒
Kwamba Klopp ni baba miujjza!Mungu anawaona.Ndio hapo ndugu...
Ngoja kesho Mbuemo na Tony wana jambo lao sijui atasingizia nini aisee..
Hakuna progress bila kusaini wachezaji muhimu pale dirisha linaluhusu ajabu wa FSG niliona 2021 January yaaani walinzi wetu muhimu wapo mahututi lakini badala wanunue wachezaji wa maana tukaletewa Kabak na Davies vituko vya karne kwa hali mbaya tuliokua nayo... Nilichojifunza ni kwamba FSG wanaamini Klopp anauwezo kuleta mafanikio akiwa na kikosi chochote kile bila kuzingatia ubora wa wachezaji wanaonunua ndio maana hawa FSG hawajali sana mambo ya kununua wanachojua Klopp ana miujiza ya kuwafanya hata mediocre players kama Henderson kua World class haha.
Klopp pia ni binadamu ana limits zake pia.
FSG out hakuna namna.
YNWA
Hapa huyu mzee ndipo alipopigwa bao na mwenzie kipara😂😂😂😂😂😂😂😂Noma sanaaa...
Klopp is very loyal and weak anapenda kumfurahisha kila mchezaji yaaani hana mkono wa chuma design kama Fergie au Thomas au Pep...
Ndio maana hata attitude ya baadhi wachezaji is questionable wewe tazama tu kwa uchache Salah, Mane, Henderson, Milner, Robertson wana mentality fulani kama wana hati miliki na namba zao yaaani haijalisha hata sub zingine wanapewa tukiwa tumeshinda lakini ile attitude hua wanaonyesha ni walakini.....
Tuna safari ndefu sana.
YNWA
Hahahaha Kipara anasema kama ela ipo itumike hakuna namna ukweli hata Norwich wangekua na Mansour mbona wangekua mabingwa tayari... Mpira wa sasa ni pesa hakuna kingine kusubiri vitoto vya academy kama zamani haipo..Kwamba Klopp ni baba miujjza!Mungu anawaona.
City wanatupiga bao kwa sababu kipara akichanganya ufundi wake na ukubwa wa kikosi basi kinachofuata ni ushindi.
Sisi wetu wanataza muujiza..jinga hawa🚮
Kipara hanaga bla bla usimchokoze..Hapa huyu mzee ndipo alipopigwa bao na mwenzie kipara