Ndio hapo ndugu...
Ngoja kesho Mbuemo na Tony wana jambo lao sijui atasingizia nini aisee..
Hakuna progress bila kusaini wachezaji muhimu pale dirisha linaluhusu ajabu wa FSG niliona 2021 January yaaani walinzi wetu muhimu wapo mahututi lakini badala wanunue wachezaji wa maana tukaletewa Kabak na Davies vituko vya karne kwa hali mbaya tuliokua nayo... Nilichojifunza ni kwamba FSG wanaamini Klopp anauwezo kuleta mafanikio akiwa na kikosi chochote kile bila kuzingatia ubora wa wachezaji wanaonunua ndio maana hawa FSG hawajali sana mambo ya kununua wanachojua Klopp ana miujiza ya kuwafanya hata mediocre players kama Henderson kua World class haha.
Klopp pia ni binadamu ana limits zake pia.
FSG out hakuna namna.
YNWA