Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,460
- 32,906
Barcelona waje wamchukue huyu Thiago tutoe na ela watupe Frenkie De Jong na tunakua sorted....
Liverpool pana shinda Edwards kwenye mikataba hivi inakua aje wachezaji wasioumia hawadhaminiki kwa mfano Gini alidumu Liverpool miaka mitano na ALIKOSA GEMU 5 kwa majeruhi lakini alivyodai alipwa powa na mkataba miaka mitatu jamaa walimtolea nje, huku sasa PANCHA Thiago na Keita wakilipwa almost mara mbili ya Gini na kwa msimu mmoja lazima wakose gemu zaidi 10. Edwards japo hua tunasema ni genius lakini haya mambo nae amechangia upande wa mikataba.
Ajabu sasa kosa lile lile la Gini naona likifanyike kwa Mane. Kwa sasa hakuna anaezungumza kuhusu mkataba wake unaisha 2023 aidha asepe ama asajiliwe kinda mapema asome kutoka kwake, design kama walivyofanya kwa Konate anasoma kutoka kwa VVD.
Muda utasema ila naona ma Yankees wanakomaa kupanua uwanja na sio kutoa ela za usajili...
Hatuna tuna mchezaji wa kuuza kwa mpunga ule wa Coutinho yaaani hawana idea nini kifanyike...
YNWA