lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Mumewahi kutuloga, ila second leg hamtawezaMbona hamjatufunga sasa kama ulivyosema!
Mumewahi kutuloga, ila second leg hamtawezaMbona hamjatufunga sasa kama ulivyosema!
humwambii kitu klop kuhusu hii mid,Hatari sana hii ndio Best MF ya Klopp..
Alimsajili Thiago akiwa jua fika ni pancha hivyo hapa hana wa kumlaumu..
Keita alitakiwa long time ameshasepa..
Milner angekua released
Henderson released..
We are doomed..
YNWA
Mid mbovu balaa imeshachoka yotehumwambii kitu klop kuhusu hii mid,
mid hakuna anayeweza kupiga chenga hata mtu mmojaMid mbovu balaa imeshachoka yote
Dah! Niliipenda mwenyewe na itaniua mwenyewe, yaani unakuta TAA anacheza as mid pumbavuuu Liverpool, ulinipa matumaini mwanzo sasa unaniangusha ngoja tum face Brentford.mid hakuna anayeweza kupiga chenga hata mtu mmoja
timu inavuja kuanzia mid mpaka beki, yani watu wa mbele ,salah ndio wapo siriazDah! Niliipenda mwenyewe na itaniua mwenyewe, yaani unakuta TAA anacheza as mid pumbavuuu Liverpool, ulinipa matumaini mwanzo sasa unaniangusha ngoja tum face chelsea.
Huu ubingwa niwa man city, na kesho sidhan kama chelsea atatoboa kwa city sisi tubaki kupambania top 4timu inavuja kuanzia mid mpaka beki, yani watu wa mbele ,salah ndio wapo siriaz
Hii tim hovyo sana, unafikiri chelsea wangetupiga zile goli mbili tungezirudisha? Yaani Liverpool tangu hapo ilianza kunikera na hata mechi sikuizi siangalii.Liverpool ya sasa hivi hata tunaongoza 2-0 , dakika ya 60 bado tunakua na wasiwasi wa kusawazishiwa magoli
wangepaki bus, tungepigapiga pasi wee tusingesawazishaHii tim hovyo sana, unafikiri chelsea wangetupiga zile goli mbili tungezirudisha? Yaani Liverpool tangu hapo ilianza kunikera na hata mechi sikuizi siangalii.
We are doomed nikianglia MF washindani wetu pale kati walivyosheheni wanaojua nakosa kabisa imani na hii klabu yaaani...humwambii kitu klop kuhusu hii mid,
Susa susa susa, unamtishia nani?Hii tim hovyo sana, unafikiri chelsea wangetupiga zile goli mbili tungezirudisha? Yaani Liverpool tangu hapo ilianza kunikera na hata mechi sikuizi siangalii.
Hahaha huyu atakua Kapteni wa hisani sidhani kama alipigiwa kura na wachezaji 😂😂😂😂😂😂😂...Nani anatoa ukapteni huko liverpool?
Nataka nikamsimange.
Kumbe ni wachezaji wanapiga kura!Hahaha huyu atakua Kapteni wa hisani sidhani kama alipigiwa kura na wachezaji...
YNWA
!