kumkamata gadiora ngumu alafu kumbukeni yeye ndo alianza ligi vibaya
Mkuu man city kakuacha point 3 ?Tuache utani kwa uchezaji huu hatuna ubingwa hapa.
Hivihivi tunavyocheza ndio tukamkute kipara na kumtoa?
Labda Mungu aingilie tu kati.
Haikua easy as you had thoughtMapema sana tunaichapa Chelsea.
Ni vile tu kikosi chetu kilikuwa kibovu..chelsea wabovu sana.Haikua easy as you had thought
Mkuu man city kakuacha point 3 ?Mkuu kimaesabu bado tunasifa zote Za kuwa bingwa.
Round ya kwanza tuna mechi mkononi na Leeds,city katuacha point 3.tukishinda tukishinda zinabaki 3 tukifungwa zitakuwa 6. Points 6 tunauwezo wakumkuta zingekuwa 15 kama za msimu uliopita ingekuwa imeisha hiyo.
Round ya pili ni marudio tu ya mechi za round ya kwanza aina tofauti sana lakini gap la points 3 na tunamechi na Leeds ili baki tatu au 6.
Sasa hivi city kuongoza inategemea na mechi alizoanzA nazo lakini Baada ya muda tutamkamata tu kama ilivyokuwa kwa chelsea watu wote walikuwa wanakubali chelsea anachukua ubingwa Msimu huu wakati chelsea anaongoza ligi kwa point 4, lakini alivyo kuja kucheza na kila timu hakaonekana hawezi na watu sasa hivi wanamkataa.
Watu wengi humu tunaangalia tu nani anaongoza ligi yaani tunafata upepo.ndio tunasema atachukua ubingwa lakini mambo yanaenda yanabadilika kipimo kizuri hiyo round ya kwanza ilivyoisha chelsea kutoka hapo juu. Ni mimi ndio nilikuwa naamini hilo,wengine hawakuelewi unaongea nini.
ilifika muda mimi peke yangu ndio nilikuwa nakataa Chelsea hawezi kuchukua ubingwa,wakati huo chelsea anaongoza ligi kwa points 4.lakini leo hii kiko wapi?
Mkuu bado tuna nafasi ya kuwa bingwa.
Mlikuwa hamjiamini.Vp mkuu ukifanikiwa kumla tunda kimadihara niambie.
NakaziaMkuuu timu yako nayo inaunga unga tu kama yetu usijidanganye eti timu yako ni bora hapana mkuu
Tulia wewe.Chelsea mkitoka salama mkamshukuru keeper wenu sana.
Alitegea kukaba... Alifeli aiseeeeVvd leo kwa mbali goli la pili nae alilala kiasi japo ilikua quick moves..
YNWA
uwezoWamenikera kweli yaani.
Yaani ndani ya dakika chache tu wamerudisha mabao mawili.
Ujinga huu.
Mmalizie wapiTulia wewe.
Analipwa kwa kufanya kazi hiyo.
Au unahisi ni mchezaji wa man city yule.
Nyie wenyewe kipa wenu kawaokoa sana.
Kipindi cha kwanza tu tulikuwa tunamaliza match.
Mkuu man city kakuacha point 3 ?
Liverpool unapoint 42.unakiporo cha game moja ....
Ukishinda utakuwa na point 45....
Man city anapoint 53 .....
53-45= 8
Man city kaizidi Liverpool point 8 clear .......
Na hapa ni endapo utashinda kiporo na Leeds united ....
Hizo point tatu unazosema ni zip
Nyie ndio wabovu zaidi kwa kushindwa kukifunga kikosi kibovu.uwezo
Now you are talking... Shukuruni Mungu Lukaku ana mgogoro na Kocha, Otherwise.... Leo mngekufa vibaya sana.Chelsea wamezembea tu kutufunga