Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu msimu umeshaisha ....

Jipange next season ,harafu hao kina mane ,salah ,firmino sio machine kwamba zitaweza kucheza na kiscore epl ,uefa ,fa ,carabao cup [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

The wide squid win league ,
Hivi mfano tukakutoa utasemaje?
 
Sisi ndio chelsea bhana [emoji23][emoji23][emoji23], nani haiogopi chelsea? Lilisikika levi moja likiongea [emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125].

Always liverpool huwa hatuna kelele wala majivuno hata kama tukipoteza tupo kimyaaaaaa, sasa hz takataka na shabiki mmoja wa manshit kila siku kelele. Kwanza unakuaje shabiki usie na wafuasi? Fungua uzi wako uwe una coment nakuji reply mwenyewe [emoji1787][emoji1787].

Kupoteza kwetu nikawaida na mpira ndivyo wala hatukati tamaa na tunasonga mdogo mdogo.

HERE WE GO.
 
We timu lenu jana limedraw tena halafu unategemea mtufunge sisi!..chelsea ni takataka kabisa[emoji1787]
sio hivyo tu mkuu, Hizo penati anazosema apo jana huyo kocha wao mwenyewe AMEZILILIA WALIVYO NA HALI TETEH!!!...NA MBAYA ZAIDI JAMAA KWENYE MECHI 8 ZA MWISHO WAMEPEWA PENATI 6 ILA HAONI HILO BOYA HUYO.

FireShot Capture 147 - Fuming Thomas Tuchel slams Mike Dean for denying Chelsea a '100 per c_ ...png

FireShot Capture 168 - Chelsea boss Thomas Tuchel blasts ‘joke’ Mike Dean decision as Christ_ ...png
 
Sisi ndio chelsea bhana [emoji23][emoji23][emoji23], nani haiogopi chelsea? Lilisikika levi moja likiongea [emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125].

Always liverpool huwa hatuna kelele wala majivuno hata kama tukipoteza tupo kimyaaaaaa, sasa hz takataka na shabiki mmoja wa manshit kila siku kelele. Kwanza unakuaje shabiki usie na wafuasi? Fungua uzi wako uwe una coment nakuji reply mwenyewe [emoji1787][emoji1787].

Kupoteza kwetu nikawaida na mpira ndivyo wala hatukati tamaa na tunasonga mdogo mdogo.

HERE WE GO.
Hii Liverpool unaenda kuikataa soon ,kwanza wachezaji wenu wameshachoka mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanatumika Sana
 
Binafsi huwa namuheshim sana klopp Based na alipoitoa liver kipindi cha miaka 5 iliyopita na huwa hanaga tambo za kijinga kama tuchelewe "MZEE WA KUUNDA TIMU YA KUOGOPWA KUCHEZA NAYO".
 
Hii Liverpool unaenda kuikataa soon ,kwanza wachezaji wenu wameshachoka mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanatumika Sana
Mkuu kwanza wewe huoni licha ya kuwa vijana wamechoka lakini wanapambana? Klopp huwa anatengeneza team bhana hata kama wachezaji ni wachache lakini watapambana kulingana na wanavyo weza , najua hatuna kikosi kipana ila na nyinyi mnauona moto wetu. Alafu tutolee kelele hum kafungue uzi wa Man city huko, huu uzi nikwaajili ya Liverpool tu we kibaka unatafuta nini huku?
 
Mimi kibaka nakutafuta wewe kuku nikumange ..!
 
We hao Brighton uliwafunga? Nyie si ndio mliwaongoza mpka goli mbili bila kisha wakachomoa zote alafu wakaongeza la 3 VAR ikakataa.
We timu lenu jana limedraw tena halafu unategemea mtufunge sisi!..chelsea ni takataka kabisa[emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom