Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Njooni tuwatandikeMnaogopa kweli km kocha wenu anaforce kina Salah wabaki Hadi hyo game y Chelsea![]()
Acheni habari zetu na kina Salah.
Njooni tuwatandikeMnaogopa kweli km kocha wenu anaforce kina Salah wabaki Hadi hyo game y Chelsea![]()
Umesahau tulishindwa kumfunga west ham pia mkuuNyie matakataka si ndo mlishindwa kuwapiga Brentford ..angalia kitu tulomfanya Jana, huo ni mfano tu ..ngoja muje nyie kuku ..nawambia tutawala bila kuwapika.
This is CHELSEA we will RISE.
#CFC
Chelsea wanaumia zaidi wakiskia even martineli kamzidi magoli lukaku 😀Wewe utakuwa na matatizo ..kwamba liverkuku Hii nitakupa nini cha muhimu adi usiwe na mpenzi? Au wewe siyo rizki mkuu..
Vincious Jnr ni mchezaji design anaowapenda Klopp na dogo anakuja kwa kasi kali sanaa...

Kheri ya Noeli CaptainKheri ya krismasi kwa wote mashabiki wa Majogoo wa Jiji na pia wageni humu.
Muwe na siku njema sana.
YNWA
Kheri ya krismasi kwa wote mashabiki wa Majogoo wa Jiji na pia wageni humu.
Muwe na siku njema sana.
YNWA



