Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

msimu wa sita huu , Klop kazi kulalamikia tuu ratiba ya December, sijui hajaadapt mpaka saivi, mwenzie kipara yeye anashushaga mziki tuu wala halalamiki kitu, ila klop sasa, kila ikifika December ni kulialia na ratiba
 
Adjustments.jpg
 
Nyie matakataka si ndo mlishindwa kuwapiga Brentford ..angalia kitu tulomfanya Jana, huo ni mfano tu ..ngoja muje nyie kuku ..nawambia tutawala bila kuwapika.

This is CHELSEA we will RISE.
#CFC
 
Njoo hapa tubet.
Lichelsea mnalodraw kila siku ati unawaza mtacheza na sisi mshinde!
Chalii amka usingizini
Mkuu sisi Chelsea linapokuja suala la kombe huwa hatuna cha kupoteza. Fainal yeyote ile tukikutana na nyie basi mjiandae kisaikolojia. Tukishamkamata yule Salah nani mwingine atafunga? Sisi ndio Chelsea bwana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom