Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Actually kwa sasa wanaolalamika ni wengi tu makocha Conte, Rodgers, Gerrard, Pep, Raghnick, Klopp, Benitez nk..

Wanachosema ni mechi zisimame kwa muda kuwe na muda wa kupata recovery kwa wachezaji waliopata corona pia kupata muda ku fumigate maeneo ya mazoezi na viwanja nk..

Klopp alisema wasikilizwe zaidi watalaam wa afya wanavyoshauri kuliko watendaji wa Ligi ambao sio watalaam wa afya.

So sar Liverpool vijana wanajilinda vya kutosha hatujapata outbreak ya covid hata gemu ya leo imeaahirishwa kutokana Leeds kua na outbreak kikosi cha kwanza...

YNWA
amechukulia excuse tuu hapo, Klop fixtures za disemba + FA na carabao tangu aje analalamikia, Pep mara chache sana kumsikia, mlalamishi mwingine mkuu ni huyu wa United( mwalimu wa klop hadi kulalamikia ratiba)
 
Adjustments.jpg
 
Kama Klopp huyu mzee ni mlalamikaji balaa, kuna msimu mmoja nyuma aliwahi kulalamika eti Theluji ndio inafanya asipate matokeo uwanjani anapenda sana Excuse za kijinga.

Huyo wa Manchester United yeye hata mwezi hana ameshaanza kualamika anataka sijui waweke substitute 5 Substation 3 hazimtoshi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom