Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Kumbe mnamuogopa???Mkuu sisi Chelsea linapokuja suala la kombe huwa hatuna cha kupoteza. Fainal yeyote ile tukikutana na nyie basi mjiandae kisaikolojia. Tukishamkamata yule Salah nani mwingine atafunga? Sisi ndio Chelsea bwana..
Sasa sisi hatumtegemei Mo pekeyake.
Subiri uone watoto wa kiumeni kutoka Anfield wanavyowachakaza.





