Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Najua nilikwambia sitaangalia kabisa babeHaiwezekani bana babe
Najua nilikwambia sitaangalia kabisa babeHaiwezekani bana babe
Sasa why umeangalia?Najua nilikwambia sitaangalia kabisa babe
Kama hujui hujui tuanzeni kuongea kingreza
Sent using motorola 78
Kazee kanajuaga kutupa pressure mashabiki!😁😁😁😂😂Klopp huwa anavuta bangi huyu mzee
Atakuwa amepakatwa huyo bwana anayeteseka!Unateseka ukiwa wapi mkuu?
Ndio tushashinda mechi hivyo aloo![]()
Hawa jamaa ni wa kushushia full mkoko, tuchukue hili kombe!
Hahahaha hivi Karius alifika fainali ngapi LiverpoolShujaa. Sio kama Karius Captain Marvelous 😂😂
Carabao na ueropa alikuwa Simon, kumbuka ndio ulikuwa mwaka wa kwanza wa Jürgen (2015/16) seasonHahahaha hivi Karius alifika fainali ngapi Liverpool
Carabao tukapigwa nadhani Chelsea
Uefa cup tukapigwa
Champions League tukapigwa.
Hivi hizo mbili alikua golini yeye ama ni Champions League tu...
Yule bwana mdogo anahitaji msaada arudi angalau kwa mid table teams...
YNWA
Atateseka sana aisee😂😂😂👌Atakuwa amepakatwa huyo bwana anayeteseka!
kiukweli nilishakata tamaa mno dahKazee kanajuaga kutupa pressure mashabiki!![]()
kabisa mkuu asidharau yani kila mechi angalau aweke wenye experience na gemu nzito na winning mentality all in all naby keita akiwa form ni mtu hatari sijapata kuonaTupo SEMIFINAL kwa akili za Klopp sasa usije kushangaa kind of risk aliyoifanya Leo akairudia tena.