King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Hawa Spurs wajilaumu wenyewe leo
Spurs leo hawana haki ya kumlaumu Refa hata kama atawapa Penalty 5 Liverpool bali wajilaumu wenyewe kwa nafasi walizozichezea
Hawa Spurs wajilaumu wenyewe leo
Spurs wamekosa chance nyingi, hii game wangeweza shinda hata 4 ni wenyewe tu ndio wanajikosesha ushindiSpurs leo hawana haki ya kumlaumu Refa hata kama atawapa Penalty 5 Liverpool bali wajilaumu wenyewe kwa nafasi walizozichezea
Hii game ni spurs wenyewe tu ndio wameshindwa kutumia nafasiYaan beki zetu ni hovyo sana
Robbo lazima ale umeme hapa
Hivi ile ya Kane kipindi cha kwanza kwa nini sio Red yaaaaani....Mchezo umejaa rafu
Hivi ile ya Kane kipindi cha kwanza kwa nini sio Red yaaaaani....
YNWA