Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata hivyo Klopp amesawazisha kitu upande wa kushoto (Robbo side) ambako Spurs walikuwa wakitumia kusababisha mashambulizi.
 
hivi corona inapiga key players tuu ama nini, dharau za FSG za kutokusajili ndio tunaziona sasa leo, mechi crucial kama hii eti kiungo ni keita, milner na Morton, kule City hata wakigongwa Covid bado wana watu wa kuperform high level, kushinda leo labda kwa kudra tuu na jina
 
VVD out
Fabinho OUT
Thiago OUT
Henderson OUT

Dah! Corona nuksi sana
Tupo kwenye boat moja mzee....
IMG_20211219_202934.jpg
 
Leo mtashinda tu kama Totte wataendelea na huu utoto wao.

Kinyume cha hapo muhesabu maumivu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom