Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu ndio ukweli. Maldini ni mzoefu na mshindi ni proper professional mpaka anayasema haya hajabahatisha. Uzuri hata sisi tunafahamu Manchester City are the team to beat ili kunyanyua kwapa you got to beat the best.

Thanks Maldini ni washidani wachache sana wataelewa hili. Kuingia uwajani ndani ya siku 7 mechi 3 na kutoka na ushindi huku uwaja ukiwa umesheheni mashabiki aidha uwe nyumbani na ugenini na tukashinda inahitaji ukomavu na uvumilivu . Mfano mzuri ni gemu ya Wolverhampton ule ushindi sio kawaida.

Tupo tayari tunakwenda mdogo mdogo mpaka mwisho wa msimu tuna imani na vijana wetu watatupa heshima kubwa.

YNWA
 
Cc Saint Anne.

YNWA
 
Wanamtimua sasahivi
Shinda iliyopo pale sio Benitez tu ni kubwa kuliko Benitez mwenyewe kayakuta aisee hata wakimtimua watakua wamemtoa kafara tu.

Ishu kuu inaanza kwenye recruitment ya wachezaji kabla ya Benitez kutua. Ina maana director wa mpira Marcel Brands amewajibika na kuachia ngazi. Huo endapo wakituliza akili kupata mtu sahihu itakua mwanzo mwema kwao kutoka walipo.

YNWA
 
Nadhani sitakosa kuwepo kwenye hili la jezi hata kwa upendeleo boss..ha ha ha ha.
 
Baada ya kubondwa na westham nasikia ulikimbilia uzi wa battle kati ya Nairobi na Dar es salam huku hukuonekana kabisa labda MMU kwahyo saiv umerudi tena? Na mpo nafasi ya ngapi? [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Mkuu suala la nafasi lisikupe tabu ..maana arse8 Kila msimu anaanza wa Kwanza Ila mwishowe anapoteana. Kwa hii desemba imeisha? Sisi ni mabingwa tayari hapa tunakamilisha ratiba tu.

Sasa chagueni moja, msuke ama mynyoe ..Yani asa nyie livakuku tukikutana Tena wanabamiza bao za kutosha.

Wewe huyiogopi Chelsea,??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…