mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Gerald Kuna kitu anakitafuta ila HATAKIPATA...FT LIVERPOOL 2 ASTON 0
umemuona eehn.Gerald Kuna kitu anakitafuta ila HATAKIPATA...FT LIVERPOOL 2 ASTON 0
Unakuja na matokeo mfukonGerald Kuna kitu anakitafuta ila HATAKIPATA...FT LIVERPOOL 2 ASTON 0
Hiyo ni pie mkuu,Penalty again. hivi ni lazima hawa city na liverpool washinde.
Amshike nani?STEVEN ANAWASHIKA MATAKO LEO APO APO
Achana nae huyo stress zinamsumbuaAmshike nani?
Hivi unacheki mechi kweli mpira unavyochezwa upande mmoja tu.
Naona wamerudi chuga kutambika kwanzaOllachuga Oc naona Moyes bado anakufiatafuata na leo...
Kila timu ishinde mechi zake.
YNWA






Na mara nyingi hua aikitoka anatuokoa aisee kwa kweli asiache cha msingi ni kuongeza umakini..Allison anawahi kutoka golini
Goli lilibaki tupu.Na mara nyingi hua aikitoka anatuokoa aisee kwa kweli asiache cha msingi ni kuongeza umakini..
YNWA
Mi city ingepoteza leo tulikuwa tunakuwa kileleniGame won..
Cool 3 points..
Who is next...
YNWA