mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Aston villa wako vizuri
😆😆😆😆Kagerrard....Goli lilibaki tupu.
Nimeogopa.
Btw tumewanyooosha.
Wamefurukuta huku mwisho ila tuliwashika balaa.
Hako kaGerrard katakuwa kanaumia lakini kanafurahia baba lao liver
Mtoto wa nyumbani huyu lazima tumnyooshe.
Ile penati waliyopata imetoa gumzo je ni penati wamepata bahati...Mi city ingepoteza leo tulikuwa tunakuwa kileleni
Angetufunga Gerrard yaani ningeshinda njaa siku nzima.Kagerrard....
Huyu siku zote mpe heshima yake muite kwa jina lake Gerrard... Ka sio status yake.
Hakuja kutoa sare au kugawa pointi alikuja kusaka ushindi angalau tumewadhibiti vyema sana leo.
Gemu ya pili sasa tunashinda kwa 1 bila. Hii ni habari njema kwamba ukuta wetu sasa unazidi kuimarika kadri tunavyosonga mbele...
YNWA
Hawa tunawapita muda si mrefu.Ile penati waliyopata imetoa gumzo je ni penati wamepata bahati...
Hawa tunakimbiza kimya kimya wakija stuka sisi haoooo kileleni na hatushuki..
YNWA
Well said.Angetufunga Gerrard yaani ningeshinda njaa siku nzima.
Amefurukuta pale mwisho lakini wapi tukamwambia Gerrard wewe ni mtoto wetu.
Nampenda sana nimetumia 'ka' kwa sababu ni mtoto wetu.,,ila ni mtu mkubwa sana,na appreciate juhudi zake na natamani siku ,mbeleni arudi nyumbani kutucoach.
MosDef njoo huku unahitajika.
Yaani mmojawapo atakayechanganywa na feelings katika kumchukua Gerrard ni mimiWell said.
Khaa hili la kua kocha nasemaga isiwe on a silver plate yaaani he has to have all the merit maana hatutaki turejee kununua akina Downing, Andy Carroll nk huku tukiambiwa Jerry Spearing ndio next Steve Gerrard hahaha ooh my my.
Tusiruhusu wakati huo ukifika ma feelings yatuchanganye kwa vile tu ni home boy...
So far ameamza vyema sana pale Villa tena kwa wachezaji ambao amewakuta hajanunua anaowahitaji na ukitazama kwa umakini utaona kuna changes kubwa sana ya hii Villa team na ile ya Dean Smith. Kinachonifurahisha wanacheza kama unit na hili waangalie wakiwa hawana mpira utaona wanavyo move kuusaka kwa pamoja yaani Steve kazi yake inaeleweka vyema sana.
YNWA





Mkuu tuendelee na nondo basi.MosDef njoo huku unahitajika.
YNWA
Shukuruni mbeleko mliyobebewa leo.Kama kututoa pale juu ni rahisi njooni Kama mnaweza ....!
Yaani hata angedraw sisi tungekaa kileleni maana hata goal difference tupo juu.Mi city ingepoteza leo tulikuwa tunakuwa kileleni
Mshukuru Wolves kupewa redcard ungeng'olewa leo pale maana hata goal difference hamtufikii.Kama kututoa pale juu ni rahisi njooni Kama mnaweza ....!
mkuu mimi nilikuona unadoubt kwenye thread ya city ...mwisho wa siku kila mtu katoboa kwa tuta...tena chelsea kapewa penati 2 mbona hujamuweka hapo kwani yeye kashindaje? au ndo double standards zenyewe izo.Penalty again. hivi ni lazima hawa city na liverpool washinde.
Dah!!Yaani hata angedraw sisi tungekaa kileleni maana hata goal difference tupo juu.
😂😂😂😂😂Ana muda wa kutosha kabisa kujiweka sawa aisee.Yaani mmojawapo atakayechanganywa na feelings katika kumchukua Gerrard ni mimi
Nimeendekeza mahaba mbele kuliko vigezo.
samahani mkuu.mkuu mimi nilikuona unadoubt kwenye thread ya city ...mwisho wa siku kila mtu katoboa kwa tuta...tena chelsea kapewa penati 2 mbona hujamuweka hapo kwani yeye kashindaje? au ndo double standards zenyewe izo.
Wewe hiyo penalty uliyopewa mshukuru Mungu ,vinginevyo usingepata nguvu ya kuingia humu ndaniShukuruni mbeleko mliyobebewa leo.
Na tunakuja kuichana.


