Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bwana wee hivi sijui anatafuta namba ama vipi naona kama ame mature vyema sana kwa mechi za Carabao na sub alizopata kuna kitu anamuonyesha Klopp pengine ni baada ya kukosa timu ya kumnunua August ameamua kujituma sasa kabla hali haijawa kwake.

Otherwise awe super sub in the meantime apate momentum ili January akihitajika awe na moto kama jana.

YNWA
 
You are blessed MosDef
 
11/12/2021
Liverpool atashinda
Simba anashinda
 

Mkataba wake nadhani umekaribia kuisha sasa anataka tumuongezee [emoji3].
 
Kila nikifikiria naishia kujiuliza hivi yule Joginho ambaye Rent Boys walitaka apewe Ballon D'Or ni huyu huyu niluemuona Jana au kuna Mwengie?

Ndio maana hajashinda,ni hovyo kabisa huyo sasa hivi wanaanza kumtupia lawama anazingua.

Me niliwaambia tunacheza na chelsea badala ya kumuogopa salah eti tumuogope joginho? Kweli?.

Ukiwaambia ukweli wanaona unawachukia.
 
Hii nakubali, mimi hua naenda nao jino kwa jino kule twitter, adui nae mueza simuachii Mungu. Jamaa wako very biased sana. If not Klopp kwa hawa wa Afrika wetu i dont know kabisa.
 

Nimemsikiliza press zake inaonekana ni mtu wa theory tu vitendo zero.

Mipango mingi maneno mengi ila kwenye vitendo atafail huyu.

Watamtimua huyo.

Epl hapo kugumu sana.
 
Aisee
Jamaa ni fighter kwelikweli [emoji119]
Heshima kwake huyu Mwamba.

Kumbe hawa jamaa wana hela hivi,pound 100,000 ni kama TZS mil 300 na kitu.


Haya tuendeleee na mwingine.
Natamani wa tatu na nne awe Mohammed Salah na Origi aliyetupa furaha jana.
 
Huyu mwamba ndugu waliuza mahindi nk kumpa nauli kwenda Dakar ndio maana yupo humble na very giving nyumbani kwao Senegal. Yule mjumba wake ambae alisimama kidete dogo atoke kimaisha dogo alivyotoka alimjengea bonge la nyumba na gari mpya kabisa.

Mamake mzazi hua haangalii mechi maana kuna kipindi aliangalia Mane akapata jeraha hivyo tangu hapo akaapa mechi hapana.


Kesho ni Mohamed Salah aka the Last Pharaoh..

YNWA
 
We're waiting boss...

Ynwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…