King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Gerrard Kakutana na Fixtures ngumu kweli anajitahidi tu
Oh kuna kipindi nilisikia amedonate ujenzi wa masjid huko kwao Senegal.Huyu mwamba ndugu waliuza mahindi nk kumpa nauli kwenda Dakar ndio maana yupo humble na very giving nyumbani kwao Senegal. Yule mjumba wake ambae alisimama kidete dogo atoke kimaisha dogo alivyotoka alimjengea bonge la nyumba na gari mpya kabisa.
Mamake mzazi hua haangalii mechi maana kuna kipindi aliangalia Mane akapata jeraha hivyo tangu hapo akaapa mechi hapana.
Kesho ni Mohamed Salah aka the Last Pharaoh..
YNWA
Gerrard Kakutana na Fixtures ngumu kweli anajitahidi tu
Imekuwa muda mrefu sana brother.
Na maneno yako yatimie mkuu,very soon mkuu.
Yatatimia Amin.Na maneno yako yatimie mkuu,