Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Kipigo kinanukia mechi ijayo EPL mnaenda kuliwa kiboga
 
Man utd tumeanza ligi mjiandae mademu zetu tunakuja mdo mdo
 
Oh kuna kipindi nilisikia amedonate ujenzi wa masjid huko kwao Senegal.
Mungu azidi kumuweka.

Nasubiri kwa hamu mkuu.
The Last Pharaoh aka Egyptian Messi..

. Majina yake ni Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly.

. Amezaliwa 15/6/1992 Kijiji cha Nagrig eneo la Basyoun Egypt.

. Idol wake kwenye mpira ni Brazilian Ronaldo, Zinedine Zizou na Totti.

. Akiwa na miaka 7 alivutiwa kucheza mpira na hajawa kurudi nyuma tena.

. Alikua anakosa shule na kutembea kilomita 3 kufanya mazoezi.

. Alijiunga na Lttihad Basyoun mwaka 2004 na 2005.

. Mwaka 2005 2006 akajiunga na Othamason Tanta.

. Mwaka 2006 mpaka 2010 alijunga na El Arab Contractors akiwa na miaka 14 na kusaini mkataba wake wa kwanza..

. Mwaka 2012 alisaini Fc Basel ya Uswisi mpaka 2014.

. Mwaka 2014 alisaini Chelsea wakimnunua kwa £11m. Hakudumu Chelsea wakimpeleka kwa mkopo Fiortena mwaka 2015.

. Mwaka 2015 2016 alijunga na Roma kwa mkopo na kuwasaidia kumaliza Serie A nafasi ya pili msimu wake wa kwanza.

. Mwaka 2016 2017 Roma walimsaini kwa £15 japo ilitokea sintofahamu kati ya Roma na Fiortena ni nani alikua na haki ya kumnunua kesi ikiamuliwa kwamba Roma hawakua na kosa lolote.

. Juni 2017 Liverpool walitoa ofa ya £36.9mkwa Roma ikiwa na adds on mpaka £43m na wakafanikiwa kumsajili.

. Ndio mchezaji wa kwanza kutoka Misri kusajiliwa Liverpool.

. Klopp alimbadili kutoka natural winger na kumfanya awe forward na msimu wake wa kwanza akifunga magoli 32 ikiwa ni rekodi mpya ya EPL tangu kuanzishwa mechi 38 za Ligi. Msimu huo alishinda kiatu cha mfungaji bora.

.pia akawa mfungaji bora msimu wa 2018-2019. Ikiwa ni joint accolade.

.ni Runners Up UCl 2017-2018.

. Akiwa Liverpool ameshinda yafuatayo
  • UCL msimu wa 2019
  • Super Cup msimu wa 2019.
  • Club World Cup msimu wa 2019.
  • EPL trophy 2019 2020.

. Mchezaji bora Africa mwaka 2017.

.mchezaji bora Africa mwaka 2018.

. Ndio mchezaji aliefunga magoli mengi EPL kutoka Afrika akiwa na magoli 108 Liverpool na Chelsea akiwafungia 2.

.Alioa rafiki wake wa miaka mingi Magi Sadeq mwaka 2013 na amebarikiwa watoto wawili wa Kike, Makka Mohamed Salah na Kayan Mohamed Salah.

. Mshahara wake analipwa 200,000k kwa wiki akiwa amebakiza miezi 18 tu mkataba uishe Liverpool. Kwa mwaka analipwa mshahara wa usd 24m.

.Ana mikitaba mingi ya biashara kama vile Adidas, Falken, Vodafane, Tires, Uber nk na hizo endorsement zinamfanya awe 5 bora ya wachezaji wanaopata ela nyingi sana kwa mwaka huu 2021. Inasadika hizi endorsement anapata usd 13m kwa mwaka.

. Staili yake ya uchezangi ni quick, dribbling with speed, flexible, team player, accurate finisher na very composed even under pressure..

. Ana miliki magari ya kifahari kama vile Lamborgin, Toyota Camry, Audi Q7, Mercedes benz AMG, CLE Coupe, Mercedes Benz SLS, Mercedes Benz AMG Roadster. Nk.

YNWA
 
Game si ya kukosa kabisa..
Daah sema nikimuona SG kwenye bench alaf mpinzan ,🥺
Hahaha huyu anajua ni kazi tu haihusiani na mapenzi yake kwa hii klabu.

Unakumbuka Dalglish akiwa pale Blackburn Rovers pale pale Anfield alikua ashinde ili wawe mabingwa mwaka EPL 1995 lakini alichezea 2 kwa 1 vizuri matokeo ya washindani wao Manchester United akitoka sare na Westham na hivyo matokeo hayo yalimbeba na huku kumfanya kutangazwa bingwa pale pale Anfield hivyo ndugu huyu Steve aje tu kikazi mengine hayatuhusu.

YNWA
 
Hii game v/s AC Milan ni ya kuchezesha Academy tu ili kuwapumzisha Wachezaji wetu, we've nothing to lose.
Duuh umewasahau FSG. Unajua kila ushindi kuna mkwaja mzuri tu unatua hivyo usitegemee iwe business as usual. Klopp ataweka kikosi cha ushindi kashaaema atajaribu kupanga kikosi kilicho balance.

YNWA
 
The Last Pharaoh aka Egyptian Messi..

. Majina yake ni Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly.

. Amezaliwa 15/6/1992 Kijiji cha Nagrig eneo la Basyoun Egypt.

. Idol wake kwenye mpira ni Brazilian Ronaldo, Zinedine Zizou na Totti.

. Akiwa na miaka 7 alivutiwa kucheza mpira na hajawa kurudi nyuma tena.

. Alikua anakosa shule na kutembea kilomita 3 kufanya mazoezi.

. Alijiunga na Lttihad Basyoun mwaka 2004 na 2005.

. Mwaka 2005 2006 akajiunga na Othamason Tanta.

. Mwaka 2006 mpaka 2010 alijunga na El Arab Contractors akiwa na miaka 14 na kusaini mkataba wake wa kwanza..

. Mwaka 2012 alisaini Fc Basel ya Uswisi mpaka 2014.

. Mwaka 2014 alisaini Chelsea wakimnunua kwa £11m. Hakudumu Chelsea wakimpeleka kwa mkopo Fiortena mwaka 2015.

. Mwaka 2015 2016 alijunga na Roma kwa mkopo na kuwasaidia kumaliza Serie A nafasi ya pili msimu wake wa kwanza.

. Mwaka 2016 2017 Roma walimsaini kwa £15 japo ilitokea sintofahamu kati ya Roma na Fiortena ni nani alikua na haki ya kumnunua kesi ikiamuliwa kwamba Roma hawakua na kosa lolote.

. Juni 2017 Liverpool walitoa ofa ya £36.9mkwa Roma ikiwa na adds on mpaka £43m na wakafanikiwa kumsajili.

. Ndio mchezaji wa kwanza kutoka Misri kusajiliwa Liverpool.

. Klopp alimbadili kutoka natural winger na kumfanya awe forward na msimu wake wa kwanza akifunga magoli 32 ikiwa ni rekodi mpya ya EPL tangu kuanzishwa mechi 38 za Ligi. Msimu huo alishinda kiatu cha mfungaji bora.

.pia akawa mfungaji bora msimu wa 2018-2019. Ikiwa ni joint accolade.

.ni Runners Up UCl 2017-2018.

. Akiwa Liverpool ameshinda yafuatayo
  • UCL msimu wa 2019
  • Super Cup msimu wa 2019.
  • Club World Cup msimu wa 2019.
  • EPL trophy 2019 2020.

. Mchezaji bora Africa mwaka 2017.

.mchezaji bora Africa mwaka 2018.

. Ndio mchezaji aliefunga magoli mengi EPL kutoka Afrika akiwa na magoli 108 Liverpool na Chelsea akiwafungia 2.

.Alioa rafiki wake wa miaka mingi Magi Sadeq mwaka 2013 na amebarikiwa watoto wawili wa Kike, Makka Mohamed Salah na Kayan Mohamed Salah.

. Mshahara wake analipwa 200,000k kwa wiki akiwa amebakiza miezi 18 tu mkataba uishe Liverpool. Kwa mwaka analipwa mshahara wa usd 24m.

.Ana mikitaba mingi ya biashara kama vile Adidas, Falken, Vodafane, Tires, Uber nk na hizo endorsement zinamfanya awe 5 bora ya wachezaji wanaopata ela nyingi sana kwa mwaka huu 2021. Inasadika hizi endorsement anapata usd 13m kwa mwaka.

. Staili yake ya uchezangi ni quick, dribbling with speed, flexible, team player, accurate finisher na very composed even under pressure..

. Ana miliki magari ya kifahari kama vile Lamborgin, Toyota Camry, Audi Q7, Mercedes benz AMG, CLE Coupe, Mercedes Benz SLS, Mercedes Benz AMG Roadster. Nk.

YNWA
Aisee

Hope kesho utaendelea na mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom