Maana imekuwa kero ssa RAGNACK kwani anafanikio gani kwenye mpira au ndio style ya kucheza tu watu wantaka makombe hata wenger alikuwa nashika namba 4 kkla mwaka ila makombe ya ulaya hakuna sda hapo vip acha dharau kloop ni kocha bora kuliko huyo RAGNACK ambae man u na LADDER anapaisha tangu jana aje EPL NA mpira wake aone kitakacho mkuta
Hapo mie nimekuelewa sana ila kwangu mie Kloop the best ever kwa ssa duniani broMkuu kitu kikifanyika na Man U ,kina weza kuwa kidogo tu ila wakakikuza sana mpaka mtu unaogopa kumbe kawaida tu.
Man U ukiwajua hawakupi shida. mkuu mchezaji wao Fernandez mwezi wa 2 sasa hajapiga shot on target,lakini siku akifunga unaweza kuogopa watakavyomsifia .
Huyu mzee anguko lake kama lipo na haya maupenzi kwa jeshi lake huku akisahau na pia akina Tsimikas waliletwa kuupiga wa kutosha kupata namba za uhakia.. Lets be honest no player want to play second fiddle to any one kama hali inaruhusu na too bad kwa Robbo sasa asubirie benchi apate recovery ya kutosha kuna gemu zake zile za kukimbiza....Klopp on Tsimikas: “he’s pushing but Robbo is Robbo. People forget how good he has been. Kostas is pushing him. We have Owen Beck too who is a real prospect. I don’t doubt Robbo at all. We’re really happy with Kostas but Robbo is Robbo. An outstanding player.”
Ukiangalia haya maneno ya klopp hapo juu sometimes naona kutokusajili kwetu ni shida ya klopp he's very loyal kwa his first 11. Ona hapa Tsimikas anaupiga mwingi now 8 games 8 clean sheets lakini klopp anakwambia robbo is robbo.
Sasa hapa hata tukileta wacheza wapya wa viwango yeye atastic na wale wake kwanza hata kama wana viwango vibovu.
Naona Klopp kashapaniki kuhusu Afcon, kushindana na Pep Guardiolla si suala dogo, Klopp is good bt Pep is an independent thinker.
Pep has been playing the most advanced form of football, pep is perfect thinker the greatest mind in soccer, ukiangalia kwa umakini utaona Models za Pep Guardiolla zimeandaliwa kuifunga timu yoyote yenye wachezaji wazuri duniani .Klopp angepata Support ya hela kutoka kwa Waajiri wake kama anayopata Pep basi nayeye angekuwa ni zaidi ya Independent thinker.
Pep ni chequebook manager