Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu mzee anguko lake kama lipo na haya maupenzi kwa jeshi lake huku akisahau na pia akina Tsimikas waliletwa kuupiga wa kutosha kupata namba za uhakia.. Lets be honest no player want to play second fiddle to any one kama hali inaruhusu na too bad kwa Robbo sasa asubirie benchi apate recovery ya kutosha kuna gemu zake zile za kukimbiza....

Tsimikas has weakness so do other players lakini hilo sio kikwazo kwake ku perfom..

Kesho kama vipi Tsimikas aanze aisee...

YNWA
Kabisa, hata Mane msimu jana alikua na kiwango kisichoridhisha lakini alikomaa nae hakumtupa, hii ndio sababu nafikiri wachezaji wetu wanampambania sana uwanjani sababu na yeye hawatupi hata waki perform below par klopp will be in their corner to defend them. Hata kwenye usajili nahisi ni hivyo hivyo hapendi kikosi kipana maana hawezi ku rotate huyu mzee.
 
Yeah rotation kwake ni ishu kubwa uzuri anajua kuwaambia the right words wanaocheza na wanaosugua benchi maana mara chache usome kwa media wakilalamika kutopata dakika akina Origi, Tsimikas nk wapo na utulivu kusubiri nafasi....

Kwa Klopp ukishakua senior player basi ujue namba unayo ya uhakika regardless ya ubora wake uwanjani kwa mfano Firmino, Mane last season muda mwingi sana walikua below expected standards lakini wala aidha kwa kukosa benchi la nguvu ama Klopp kua super loyal kwao walipata dakika za kutosha kabisaaa mpaka Taikumi akoana isiwe shinda akatimka St Mary's kwa mkopo...

Nionavyo hapa shinda ni FSG kua na bajeti finyu ya wages na kununua wachezaji maana sidhani kuna kocha atakumbali haya mambo anayakutana nayo Klopp..

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Liverpool wameshinda mechi 7 kati ya 8 walizokutana na So’ton.

So’ton ni moja kati ya timu zenye rekodi mbaya ugenini.

Liverpool wamepata ushindi kwa bila katika mechi zao 4 za mwisho nyumbani dhidi ya So’ton wakishinda jumla ya mabao 12.

Sadio Mane ameshinda magoli 5 katika mechi 6 walizokutana Anfield.

Utabiri: Liverpool 2-0 So’ton
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom