Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 514
- 820
Huyu ndo thiago tuliomsajili mid ya hendo-fab-thiago imekaa poa sana
Kaa weweThe Saints tunakuja kuondoa mapepo Anfield. Tunaomba mkae kwa kutulia.
Sawa...ngoja nyumbu akutahiri bila ganziThe Saints tunakuja kuondoa mapepo Anfield. Tunaomba mkae kwa kutulia.
Vipi lakin maombi yako yamefikia wapi?The Saints tunakuja kuondoa mapepo Anfield. Tunaomba mkae kwa kutulia.
Asante Kwa taarifa mkuu.Epl here we come...
@ Saint Anne saa kumi na mbili jioni hii tupo Anfield kuwakaribisha vijana wa Southern Coast...
All the best kwa vijana..
YNWA
Ah yamegonga mwamba aiseeeeVipi lakin maombi yako yamefikia wapi?
Akishakuwa nyumbu hana maajabu...vSawa...ngoja nyumbu akutahiri bila ganzi
Mimi nimeshakaa kileleni. Wake zangu wanafuata nyuma.Kaa wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ah yamegonga mwamba aiseeee
Salah yupo level ya peke take this time