Robertson yuko vizuri kwenye kukaba unlike Trent na hicho kwa maoni yangu ndicho kinatoa sababu ya yeye kuwepo daima in every lineupHey habari za masiku kwanza...
Ni hivi ndugu kwa uelewa wangu ni kwamba Klopp hutayarisha kikosi chake pre season akiweka vyema all the necessary details expected for every position and for every player, na ndio maana utaona hata TAA akiwa injured anaesimama pale most of the times ni Milner na sio Gomez hivyo hio inakupa picha kamili where Gomez position ni RFB au RCB.. Nimesema kuhusu pre season utaelewa ni kwa nini walivyoumia Matip, Gomez, VVD wale markshift hawakua wamefanya pre season kwa ajili ya ku defend na ukitazama vyema utaona after so many drills last season last 10 games we performed better. Tazama pia msimu huu Elliot pre season was prepared to play behind Salah kama AM wakati dogo ni RW hivyo maadalizi ya hizi nafasi hua ni based on pre season unless itokee injury kwa main starter.
Cha pili ndugu all along ipo wazi dogo TAA ndio weak link sasa kwenye hili Klopp ana gamble na ku take risk of which mwenyewe umesema boy is good going forward to create goal scoring opportunities, wakati anafanya hayo upande pale akiwemo Matip na Fabinho at least msaada unakuwepo wa kumsaidia defensive duties lakini pia combination ya Konate na TAA upande wa kulia jana ilnaonekana wapo tense na shaky na Seagulls wakatumia vyema nafasi zao kutuumiza... Unapokua na shaky defence ina adhiri confidence ya mashabiki na wachezaji pia ndio maana baada ya Mane kuona vile ilimlazimu kurudi nyuma kusaidia pale tulipozidiwa..
Nionavyo mimi ni kwamba VVD hajapona asilimia 💯 probably saikologically hajakaa sawa ni kama kuna uoga fulani na siwezi kumlaumu mbali anahitaji pembeni yake asimame mwamba Matip anae mfanya kujiamini..
Hapo ndugu cha kuomba ni Fabinho kuwa fit and ready to tango as soon na hopefully huko timu ya Taifa japo wamemiuta hatakwenda aisee, keeping Fabinho fit is vital to our course..
Hili la TAA kubadilishwa kwenda MF Klopp alishalikatalia na mjadala mpana kwa sababu timu ya Taifa wanatamani sana dogo acheze RAM.
Kingine MF tulionao sasa ni Attacking orientated mtazame Jones, Ox, Keita, Henderson yaani hawa to defend ain't thier things na especially the younger ones na ukimtazama Klopp muda mwingi tukiwa jana hua anatingisha kichwa tu itakupa picha kamili boys ain't executing his words to the letter...
All in all bado tupo in a very position kuliweka sawa hili la upande wa TAA..
Kwa Robertson yupo VVD na Jones jana angalau waliweza kufanya yao in tandem na as you have said Robbo is good pia sprinting back for his defensive duties..
Nina imani na Klopp haya atayafanyia kazi..
YNWA
Yaah Safari inakuwaga hivyo ...Ni kweli ubingwa unawafuata Chelsea maana wana timu ya kawaida sana lakini wanapata matokeo.
Inakuaje ina team yakawaida ukiwa inaongoza magoal yakufunga na ndio team iliyoruhusu magoal machache huo ukawaida unaozungumza uko wapi?Ni kweli ubingwa unawafuata Chelsea maana wana timu ya kawaida sana lakini wanapata matokeo.
Hivi Mkuu TAA ni trash defending but a pure gem when attacking... Hivi let's say Klopp to switch to 3 5 2 pale akapanga hiviRobertson yuko vizuri kwenye kukaba unlike Trent na hicho kwa maoni yangu ndicho kinatoa sababu ya yeye kuwepo daima in every lineup
Jana hiyo nimeona sana Trent yuko out of position with catastrophic Attacks always raged on on his areas he is supposed to be defending
Kwa performance ya Chelsea basi msimu huu ndiyo mabingwa wa EPL.
Nimeyasema haya based on performance
Inakuaje ina team yakawaida ukiwa inaongoza magoal yakufunga na ndio team iliyoruhusu magoal machache huo ukawaida unaozungumza uko wapi?
Mbona nyie hamjabebeka sasa na kina Brighton n Brentford [emoji23]Mkuu ratiba imewabeba mkuu mechi zenu mbili za mwisho ummecheza timu za mwisho Kwenye ligi.
Mlivyokuwa full mbona mlifungwa.
Hivi ndio mtaongoza ligi mpaka ligi inaisha ? Ndio mnavyoamini mashabiki wa Chelsea,kitu ambacho hakipo hicho
Hater Tu huyo[emoji1787]Inakuaje ina team yakawaida ukiwa inaongoza magoal yakufunga na ndio team iliyoruhusu magoal machache huo ukawaida unaozungumza uko wapi?
Ndo wachezaji wa Aina gani hao maana waliokuwepo wanafanya Tunashinda na tunafunga magoli mengi.Mkuu kiukweli hamna wachezaji wakuwapa ubingwa pale Epl, ni swala la muda tu.
Saizi hautaelewa subiria ligi iishe ndio utaelewa,hawezi kuelewa saizi kwa sababu unaongoza ligi.
Na hutaki kusikia chochote zaizi ya kuambiwa unachukua ubingwa.
Inakuaje ina team yakawaida ukiwa inaongoza magoal yakufunga na ndio team iliyoruhusu magoal machache huo ukawaida unaozungumza uko wapi?
Tuache utan Chelsea ubingwa unawafata ....
Wengine tuliobaki city ,liverpool ,man utd tunautafuta ubingwa ....
Game ya liverpool vs Chelsea..
Game ya Brentford vs Chelsea ...
miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha kuwa ubingwa wa epl unaifuata Chelsea ,Wala Chelsea hatafuti ubingwa ....
ile game tumeizalau Sana....Wilfred Zaha anakusalimia hahaha
ile game tumeizalau Sana....
Hahaha hi ni excuse TU,Usikute na game ya PSG mliidharau.ile game tumeizalau Sana....
ile ya psg tulikuwa tanafungiwa na uefa Kama tungemfunga psg .....Hahaha hi ni excuse TU,Usikute na game ya PSG mliidharau.
Hako ndio level yenu. Chukueni mtulie wakati wanaume tunabea epl na UCLMe naona tuanze na haka kakombe katupe starter ya kuchukua CL na EPL.View attachment 1993113
Ukija kushtuka ligi imeisha tumebeba kombe...Mkuu ratiba imewabeba mkuu mechi zenu mbili za mwisho ummecheza timu za mwisho Kwenye ligi.
Mlivyokuwa full mbona mlifungwa.
Hivi ndio mtaongoza ligi mpaka ligi inaisha ? Ndio mnavyoamini mashabiki wa Chelsea,kitu ambacho hakipo hicho