Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
beki naona haipo compact kabisa, yani kuna mianya mianya naona kabisa madogo wakiitumia wanatuumiza,
 
walikuwa ni burnley ...
wahurumie aisee
japo na wao walikuja wakajipigia, everton akajipigia, man city akajipigia
ilikuwa ni january mbaya aiseee



View attachment 1992264
Aiseee.

Leo tunahitaji ushindi tu hakuna namna japo tunapoteza mipira mingi sana pale kati na pale mbele leo hawajawa clinical vyema...
Kwingineko kipara yupo mchezaji pungufu hivyo ni ule mwendo wa kila mmoja ashinde mechi zake..

YNWA
 
Tupige 5 na hawa asee
Hahaha EPL bhana huwa haina matokeo unayatarajia...

Hawa Brighton msimu huu hawajapoteza ugenini sio wepesi kula 5 hawa...

Gemu ya Jpili dhidi Manchester United ilikua wachezaji wanakimbiza mpaka kivuli aisee leo kwa kiasi fulani kuna reluctant ya kuwai hawa madogo wasipange yao..

Ngoja tuone Klopp kawaambie aje half time...


YNWA
 
Namuona Konate anajogging tu humu uwanjani! Hivi Muna uhakika kama huyu ni Beki kweli?
Hapana huyu tumepigwa mchana kweupe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom