Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah hajafika hata nusu ya ubora wa Ronaldo
Ronaldo bora bila ubishi kihistoria lakini ukweli ni kwamba mechi 5 EPL wameshinda 1 kupigwa mechi 4 huku Ronaldo akiwemo. Je ndio uflame wake unaelekea ukingoni?

Jumapili ubao ulisoma Liverpool 5 Manchester United 0 tena tukiwa Old Trafford. Na Salah akipiga 3 huku akiwa MAN OF THE MATCH sasa kama hukuona Salah alikua bora zaidi ya CR7 ile mechi itakua tuliangalia mechi tofauti...

YNWA
 
Wametumia hela vibaya sana,walikuwa wanafanya masajiri ya siyo kuwa na maana,sasa wanataka klopp haende kuwasaidi.

Sasa barcelona itarudi ilipotoka,inakuwa timu ya kawaida.

Mafanikio yaliwachanganya wakawa wanatumia hela ovyo,usajiri kila kukicha.

Sasa hakuna anetaka kwenda barcelona.

Walioifilisi Barcelona ni Usajili wa:-
1) Coutinho
2) Dembele
3) Griezman
4) De Jong

Pia Mshahara na Bonuses za kufa Mtu alizokuwa anapewa Messi kulazimishwa kubaki Barca.
 
Adjustments.jpg
 
Walioifilisi Barcelona ni Usajili wa:-
1) Coutinho
2) Dembele
3) Griezman
4) De Jong

Pia Mshahara na Bonuses za kufa Mtu alizokuwa anapewa Messi kulazimishwa kubaki Barca.
Dembele majeruhi
Coutinho majeruhi
Griezman kawaida sio bei yake
Miralem Pjanic walipgwa
Umtiti overrated
La Macia failed to support.
Nk

Wage bill ya usd 1.5 billons hii haiwezi kuiacha klabu salama. Mix hayo na madhara ya corona ndio kabisaaaaa.

YNWA
 
Bado wanakaza Fuvu kumpamba lakini wamesahau kuwa hata Moratta walikazana kumpamba baadae wakakubali matokeo.
sisi atutegemei mtu mmoja kama litimu lenu ilo bila salah amjui kucheza sisi ad kepa anafunga sasa endelea kuangalia anguko la mchezaj mmojammoja ss tukiwa tunakusanya point3 nyie kuku january mtaiona ngumu salah atapotimkia afcon
adellatillya-20210125-0001.jpg


Sent using motorola 78
 
Kipara leo atanuna sana maana...

Chaliifrancisco hivi hawa Barcelona mbona kichefuchefu maana Raisi anadai hamfukuzi Koeman mpaka awe na uhakika wa kumpata Klopp au Xavi.

Sasa najiuliza Klopp yupo sokoni kusaka kazi mpya au anajiresi.. Je Klopp aliwai kua na mazungumzo nao ikitokea kazi apewe 1st refusal to sign ama huyu Laporte anacheza na akili za mashabiki na board yake.

Ngoja tuone hii ishu itakwenda aje...

Unless kuwe na behind the scenes pale Anfield sitegemei kuona hizi gossip zikiwa na ukweli wowote..

YNWA
Hakuna behind the scenes yoyote pale anfield, yani Klopp akiondoka liverpool kwa namna yoyote ile kabla ya mkataba wake kuisha bhasi na wale american yankees nao wafungashe virago. Maana Klopp anaipenda sana Liverpool na asha admitt mara nyingi, he's the fan and he want to stay with us for as long as he can.
 
Hakuna behind the scenes yoyote pale anfield, yani Klopp akiondoka liverpool kwa namna yoyote ile kabla ya mkataba wake kuisha bhasi na wale american yankees nao wafungashe virago. Maana Klopp anaipenda sana Liverpool na asha admitt mara nyingi, he's the fan and he want to stay with us for as long as he can.
Unaona aje hata siku akisema anahitaji kupumzika 2028 basi msaidizi wake Pep Lijinders achukue mikoba mazima... Nimekua nikimtazama sana na ni dhahiri huyu bwana ana sifa ya kua Meneja mzuri akipewa mazingira safi ya kufanya kazi..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom