Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

City out. We should go for this cup asee.
Kipara leo atanuna sana maana...

Chaliifrancisco hivi hawa Barcelona mbona kichefuchefu maana Raisi anadai hamfukuzi Koeman mpaka awe na uhakika wa kumpata Klopp au Xavi.

Sasa najiuliza Klopp yupo sokoni kusaka kazi mpya au anajiresi.. Je Klopp aliwai kua na mazungumzo nao ikitokea kazi apewe 1st refusal to sign ama huyu Laporte anacheza na akili za mashabiki na board yake.

Ngoja tuone hii ishu itakwenda aje...

Unless kuwe na behind the scenes pale Anfield sitegemei kuona hizi gossip zikiwa na ukweli wowote..

YNWA
 
Barca wapo kwenyw crisis kubwa sana. Kwani kumpata Xavi ina challenge gani kwao? Si atakuwa home boy anarejea.

Klopp wamwache kwanza asee project yao sidhani kama itamvutia kwa sasa.
 
Screenshot_20211028_001109_com.allfootballapp.mls.soccer.livescores_edit_152099174642936.jpg

Aiseeee.

YNWA
 
Barca wapo kwenyw crisis kubwa sana. Kwani kumpata Xavi ina challenge gani kwao? Si atakuwa home boy anarejea.

Klopp wamwache kwanza asee project yao sidhani kama itamvutia kwa sasa.
Nahisi yule raisi wa Barcelona anachanganyikiwa maana where in the world will Klopp join a sinking ship...

Watuache kwani aliewalazimisha kununua wachezaji vilaka ni nani mpaka yamewakuta...

Wakomae na Xavi anawatosha...

Wametumia hela vibaya sana,walikuwa wanafanya masajiri ya siyo kuwa na maana,sasa wanataka klopp haende kuwasaidi.

Sasa barcelona itarudi ilipotoka,inakuwa timu ya kawaida.

Mafanikio yaliwachanganya wakawa wanatumia hela ovyo,usajiri kila kukicha.

Sasa hakuna anetaka kwenda barcelona.
 
Yaani inabidi bwana John Henry awaulize wanavuta nini pale Catalan.

Huwezi kufanya usajili wa vile ukalipe mishahara vile ukabaki salama aafu utegemee miujiza ya Klopp kuokoa jahazi kwa sifa kwamba sio mlalamishi na ana sifa ya ku deliver hata kwa tight bajeti..

Wale kona kwa sasa hana nafasi ana miaka 3 ya mkataba wake hapa Anfield.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom