Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Thiago back in full training
Keita back in full training

Good News
Hivi King huyu Thiago kila nikiangalia mechi anazocheza ni kama sio staili yetu ni kama anachelewesha mashambulizi touches, turn offs zinakua nyingi sana na huku kuchelewesha quick attacks..

Itakua powa Klopp atumie kama super sub pale ushindi tushapata...

YNWA
 
Dawa ya injuries imepatikana...

Ile tackling halfu jamaa mzima hahaha.. wakat hua anaumia hata akilala na aote anakimbizwa...

stay fit Naby... Tufaidi thunder goals.View attachment 1990643
Boy shouldn't defend he ain't cut out for that role...

Huyu atupe magoli tu na ma assist maana sasa anaanza kunishawishi sio tena dead wood..

YNWA
 
sisi atutegemei mtu mmoja kama litimu lenu ilo bila salah amjui kucheza sisi ad kepa anafunga sasa endelea kuangalia anguko la mchezaj mmojammoja ss tukiwa tunakusanya point3 nyie kuku january mtaiona ngumu salah atapotimkia afconView attachment 1989444

Sent using motorola 78
Huwezi kusema tunamtegemea mtu mmoja wakati scoresheet ina salah, mane, jota, firmino, keita hadi fabinho
 
Huwezi kusema tunamtegemea mtu mmoja wakati scoresheet ina salah, mane, jota, firmino, keita hadi fabinho
Achana nao mkuu...CHELSEA wamekosa hoja...waliweka mategemeo makubwa kwa lukaku...matokeo yake amewaangusha hafungi...KWAHIYO KIPOZEO CHAO DAIMA NI KWAMBA HAWAMTEGEMEI MFUNGAJI MMOJA...HOJA MFU KWA WATU WAFU
 
Simtank ni mtumishi hewa
 
Unaona aje hata siku akisema anahitaji kupumzika 2028 basi msaidizi wake Pep Lijinders achukue mikoba mazima... Nimekua nikimtazama sana na ni dhahiri huyu bwana ana sifa ya kua Meneja mzuri akipewa mazingira safi ya kufanya kazi..

YNWA
Yeah pep yuko vizuri akiondoka Klopp jamaa achukue mikoba. Ukisikiliza press zake jamaa yuko fresh na ku under klopp amepata madini ya kutosha.
 
Hivi King huyu Thiago kila nikiangalia mechi anazocheza ni kama sio staili yetu ni kama anachelewesha mashambulizi touches, turn offs zinakua nyingi sana na huku kuchelewesha quick attacks..

Itakua powa Klopp atumie kama super sub pale ushindi tushapata...

YNWA

Ni aina ya Mchezaji wa Pep's style yani Tiktaka. Kwa hii Klopp's style ya attack with defensive minded ni ngumu sana kwake kuadapt nayo! Huenda ikachukua muda au ikamshinda kabisa.
Mido Watakaofanikiwa ni wale watakaotokea Academy na kupata coaching ya Klopp at early age kama Jones.
 
Yeah pep yuko vizuri akiondoka Klopp jamaa achukue mikoba. Ukisikiliza press zake jamaa yuko fresh na ku under klopp amepata madini ya kutosha.
Ulimsikia akizungumza press conference ya kabla ya mechi ya Carabao anasema...... "quality of our front three, we said they look like raptors in Jurassic Park" .

Ukitazma kwanza Klopp anavyo mconsult utaelewa Pep wakati mechi inaedelea utaelewa uhumimu wa inputs zake kuboresha matokeo...

Nina imani huyu jamaa mikoba ataimudu kabisa wakati ukifika.

YNWA
 
Ni aina ya Mchezaji wa Pep's style yani Tiktaka. Kwa hii Klopp's style ya attack with defensive minded ni ngumu sana kwake kuadapt nayo! Huenda ikachukua muda au ikamshinda kabisa.
Mido Watakaofanikiwa ni wale watakaotokea Academy na kupata coaching ya Klopp at early age kama Jones.
Can't say otherwise yaani Thiago ni bonge la MF pure Pep style la kwa hili la kua defensive minded sioni akichomoza aisee huku ukizingatia almost klabu zote alizopita hili ilikua sio moja ya kazi yake kuu..
Klopp main play ni win the balls upfront na kuanza mashambulizi fasta kabla defence ya wapinzani haija settle... Sasa kwa Thiago duuh kwanza jamaa kwa mazoea pia anapenda kujaribu pasi ngumu ngumu ambazo kwa kikosi chetu hua zinakwenda to waste kutokana na mfumo na wachezaji ku prefer being direct most of the times...

Kwa hii mechi ya kesho Thiago atulie tu maana Brighton wanahitaji wapewe mchakamchaka maana sio waoga hata wakiwa ugenini.. Tunahitaji kwenda nao kwa mahesabu makali sana... Ukitazama shot on goal na expected goals nadhani wapo juu yetu na goals conceded tupo sawa hivyo sio mechi ya kuwachukulia easy easy...pale kati Henderson, Jones, Keita...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom