GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 769
Yaani AC Milan anaburuza mkia akiwa na pwenti sifuri...duh!
Maisha hubadilika aisee
Yaani AC Milan anaburuza mkia akiwa na pwenti sifuri...duh!
Yes we are winning the UCL...Hahahahahaaaa you wonna win uCL pale Ambapo mpinzani wako utakae cheza nae alipata redcard
Dogo alifuatwa na Edwards ila hakutaka kua understudy wa Jota na Firmino hivyo akaona Leicester ndio mahala sahihi kwake...Boss P DAKA pale mbele angetufaa sana.
Huyu Youri sio wa kawaida kabisa nimecheki gemu yao jana Europa na kiwango chake kinarudi kwa kasi ya 4G..