D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
itakuwa james milnerNani huyo Keita ama...
YNWA
itakuwa james milnerNani huyo Keita ama...
YNWA
Ndio unajua leo mkuu?Waku hivi SEMION anakula Mjani A.K.A GANJA?
CurtisNani huyo Keita ama...
YNWA
Source ya habari tafadhariNdio unajua leo mkuu?
Duuh huyu babu ana nyota na Klopp usishangae kumuona 1st 11 Jumapili..itakuwa james milner
Curtis Jones unless akisogea sogea umri kwa sasa sio workaholic MF... Huyu Jones kwenye mfumo tofauti ni 8 am 10 murwa kabisaaa...Curtis
Salzbuorg hawa makinda wao wana watoa wapi karibu team nzimaa ni makinda sisi tunakwama wapi?Wakuu tupo October na mpaka sasa Top performers wetu wanajulikana ishu watakaa aje fully fit na mechi zilivyo nyingi mara EPL, UCL, Kombe la Dunia, Euros, FA, Carabao nk...
Top performer ni Allison jamani huyu dogo ni level zingine yaaani sioni tukiwa salama bila huyu Samba boy... Jana katuokoa wakati beki ilivyopasuka...
Weakness yetu ni dhahiri kabisa ni Defence ni kama kuna muda wana switch off especially tukiwa tunaongoza mechi jana ushahidi upo nje nje hawakua kwenye ule ubora tuliotegemea... VVD ana safari ndefu sana kurudi kwenye summit. TAA anahitaji msaada anavyoshambulia kutoka kwa MF ishu sasa na hao MFs Keita na Henderson au Milner wanakwenda kushambalia ndio maana dogo anakua exposed mara nyingi...
Weakness nyingine bila Fabinho hatuna plan B kabisa pale kati sio Henderson, Keita, Milner wenye huo uwezo wa kucheza modern HM kama alivyo Fabinho...
Weakness nyingine pale mbele Jota na Firmino ni wazito fulani hawana false 9 proper speed kuna pass kadhaa nimeoma gemu tofauti wamekua wakiwekewa lakini unakuta hawafiki kwa wakati tofauti kabisa na Mane na Salah ambao speed yao ni top top speed with a mission..
Klopp anakazi sana maana kikosi finyu sana yaaani kuwaweka hawa wachezaji kua fit August mpaka Mei itakua mitihani sana ila hatuna namna lazima wakae fully fit tukihitaji ushindi wa makombe..
My top performers msimu huu ni
Allison
Salah
Fabinho
Robertson
Mane
Matip
VVD
Jones
Elliott.
My medium performers
TAA
Henderson
Keita
Firmino
Jota
Milner
Neco
Tsimikas
Ox.
Konate.
Taikumi
Origi.
Kelleher
YNWA
Salzburg walimwajili huyu Mjeremani Ralf Rangnick.Salzbuorg hawa makinda wao wana watoa wapi karibu team nzimaa ni makinda sisi tunakwama wapi?
Kama ule mkoba wa club blug kinda tu hafu yupo makini
Wesha sawazisha watashindaMc cain huyu bwana Ole mbona naona amezidiwa na viatu vya hii Klabu kongwe..
YNWA
Dah! Bora sisi tulitoka washindi na Red card kuliko nyie mlio pgwa na Juventus tena team iliyo choka balaaRed card zinawabeba nyie ngoja tukutane tena muone kazi itakayofanyika. Mtapata goli 3+ nyie mnabamizwa bao ngapi? Beki zenu ni rojo rojo sasa hivi na lile shati lenu Allison linaruka ruka tu ikipigwa imoo ..tuwape Kepa?? Fungueni pochi mpatr kipa bora kama Kepa hivi at least atawapeleka mbali ..huyu Allison msimu ujao mutamkataa tu. Umeona wapi makipa wa Brazil wakifika mbali.?

mkamwagiwa kimoja tu point 3 zikaenda.Sijui kwann siku hiyo hawakumueka kipa bora mzee kepa ili adake goli la chiesa ahahhhhhDah! Bora sisi tulitoka washindi na Red card kuliko nyie mlio pgwa na Juventus tena team iliyo choka balaamkamwagiwa kimoja tu point 3 zikaenda.

Sijui kwann siku hiyo hawakumueka kipa bora mzee kepa ili adake goli la chiesa ahahhhhh![]()

sindio hapo sasa

Bwana wee naona CR7 amefanya jambo lake jana.Wesha sawazisha watashinda
Hahahahahaaaa you wonna win uCL pale Ambapo mpinzani wako utakae cheza nae alipata redcardWe march on...
We wonna win UCL this season..
We are making this statement mapema ijulikane...
But man tunakazi sanaaaa our defence sucks poor kabisa...
YNWA
Boss P DAKA pale mbele angetufaa sana.Wakuu tupo October na mpaka sasa Top performers wetu wanajulikana ishu watakaa aje fully fit na mechi zilivyo nyingi mara EPL, UCL, Kombe la Dunia, Euros, FA, Carabao nk...