Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Hamna beki humu.
Kipa keshakuwa shati.
Hii timu inabebwa na wachezaji wa tatu tu.
Nyie ni matakataka.
Angalieni wanaume leo tunamnywa mtu bao sita.
Mpaka leo hii hao matakataka still ni unbeaten, ndio team iliyofunga goli 3+ katika mechi zake zote za away kwenye mashindano yote, ndio team iliyowafanya Chelwowowo mkapark bus kwa zaidi ya dakika 45.

Kwa quality hizo kama sisi ni matakataka acha tuendelee tu kuwa matakataka maana tunafurahia kuwa hivyo.
 
Mpake leo hii hao matakataka still ni unbeaten, ndio team iliyofunga goli 3+ katika mechi zake zote za away kwenye mashindano yote, ndio team iliyowafanya Chelwowowo mkapark bus kwa zaidi ya dakika 45.

Kwa quality hizo kama sisi ni matakataka acha tuendelee tu kuwa matakataka maana tunafurahia kuwa hivyo.
Red card zinawabeba nyie ngoja tukutane tena muone kazi itakayofanyika. Mtapata goli 3+ nyie mnabamizwa bao ngapi? Beki zenu ni rojo rojo sasa hivi na lile shati lenu Allison linaruka ruka tu ikipigwa imoo ..tuwape Kepa?? Fungueni pochi mpatr kipa bora kama Kepa hivi at least atawapeleka mbali ..huyu Allison msimu ujao mutamkataa tu. Umeona wapi makipa wa Brazil wakifika mbali.?
 
Kwa sasa tuna weka kambi hapa kuhakikisha mnashinda kihalali sio hadi red card ndo mshinde.

Mechi yenu na Man United tutahakikisha point tatu kibindoni mfukoni mwa Olesendeka ili aendelee kuwang'ata na kuwapuliza hawa mafans vichaa wa Manure.

Mjiandae kisaikolojia hiyo game haitokuwa rahisi ninyi kuku.

Tuna uhakika na beki yenu ilivyombovu basi CR7 hatowaacha salama.

#inManureWeTrust
Come oooooonn Manure
 
Mlipocheza na Chelsea bila ile red card ya James mngekaa, Jana tena hivyo hivyo ..na bado humuna clean sheet.

Nyie kweli nina matakataka.
Brentford alikutowa jasho, Man united ndo utamuweza.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom