The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Yana epukika haswaaDefense yetu inapwaya balaa magoli tunayofungwa yanaepukika kabisaa
Yana epukika haswaaDefense yetu inapwaya balaa magoli tunayofungwa yanaepukika kabisaa
Mzee wa kupanchii upepo hewani kakutana na mhuni El cholo ...
Katulia Kama maji mtungini![]()
Sisi group letu mbona linajulikana kabisa nan atapitaPSG anakusalimia kule
Sisi group letu mbona linajulikana kabisa nan atapita
Tunamtaka huyo huyo buyern Munich aiseee ,mleteeee.....PSG ataongoza Kundi then unaenda kukutana na Bayern akiwa Mshindi wa kwanza kwenye kundi lake.
Huyo psg akija Etihad atakula goli za kutosha ...PSG ataongoza Kundi then unaenda kukutana na Bayern akiwa Mshindi wa kwanza kwenye kundi lake.