The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Kama Anelka angetulia Arsenal pengine angekuwa top now..alipotoka arsenal ndo akaingia Henry....
Nimeshangaa hii list waafrika watatushambulia Tu
Adebayor
January
Etoo.
Yakubu..
Halafu Les Ferdinand alikosa goli nyingi
Kuliko alizofunga.....

