Kwa mfano VVD 2019 alikua aipate aisee sema huku Afrika kura nyingi zilikwenda kwa Mane hivyo hizi kura kwa kweli ni mtihani sana kubalance kuwapiku Messi na Ronado...
Msimamo ulikua hivi 10 bora
View attachment 1970241
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona unaongea kama vile una kipande cha Kimba makalioni.
Bwana wee hata Modric 2018 aliwapiku Ronaldo na Messi na kushinda hivyo hata huyu Mpolish anaweza kushinda...Ingelikuwa naruhusiwa kupiga Kura basi Ningempigia LEWA
Bwana wee hata Modric 2018 aliwapiku Ronaldo na Messi na kushinda hivyo hata huyu Mpolish anaweza kushinda...
Kabla kura kupigwa 2018 mambo yalikua hivi...
View attachment 1970568
Luka msimu huo alikua fire Real Madrid na kule Urusi World Cup alikua moto mno...
Lewandowski alishinda golden boot Europe msimu uliopita hivyo anastahili hii tuzo kwa kua msimu bora kabisa.
Akipata kura za Europe, Asia na Africa basi upo uwezekano akaipata hii tuzo.
YNWA
Ni kweli mara nyingi hizi kura hupigwa Afrika na Asia hata kwa yule asiekua na uhakika wa kushinda na hapo ndio unakuta Messi na Ronaldo wanakua serial winners...Tatizo lipo kwa wapiga kura mfano bongo hapa captain wetu wa timu ya taifa atakavyoona yeye nani anastaili kushinda na TFF watakavyoona wao ,hao wote hawata angaika na takwimu hizo wala vikombe,
Mara nyingi wanachaguaga mchezaji ambae hajashinda yaani wanakuwa upande wa looser tu.
Na captain asipokuwepo watampigia kura wanavyojisikia wao tena.
Tuzo bado ipo Kwa messi mpaka sasa.
Bwana wee golini yupo Kelleher kati pale HM naona akicheza Hendo..Next weekend tufanye mauwaji...
Huyu jamaa hana nyota aisee kama Lewandowaki tu.
Tupo na Watford na Champions League tupo na Atletico Madrid ni mechi ngumu.. Hii imejirudia tena kipindi hawa Watford wanatufunga msimu wa 2019 2020 na kutolewa na Atletico Madrid kwenye Champions League.This means weekend yetu after the international break itakuwa ngumu...
The game at Manchester United blew us out of the race. How was that a draw.