Pep mwenyewe alishawahi ku admit kuwa Liverpool ndio team ngumu kabisa aliyowahi kukutana nayo.
Pep Guardiola Names The Most Formidable Opponent He Has Faced In His Managerial Career
So alijua kabisa game ile muda wowote kinatoke chochote ndio maana akataka apate advantage ya aina yoyote ile ili aweze kushinda.
Kitu ambacho nili observe kwenye ile game ya jana ni kuwa makocha wote wawili wana heshimiana sana (tactically). Hakuna alieingia kwenye game akiwa amevimba kichwa kuwa atampasua mwenzake. Nadhani ndio maana hata first half kila team ilicheza sana kwa kujihami na kushambulia kwa kushtukiza.
Even the post match interviews kutoka kwa wachezaji kama KDB, Mo, Robbo na Foden. Wote waliongea vizuri. Kila mmoja alionyesha kuheshimu uwezo wa wapinzani wake.
Pep na Klopp nao pia.
Kuhusu van Dijk nadhani ni suala ambalo litamchukua time kidogo mpaka akae sawa. Kutoka kukaa nje msimu mzima baada ya career threatening injury sio mchezo.
Sisi kama mashabiki tunajua uwezo wake. Tumpe muda tu anahitaji kurudi taratibu. Akirudi form ana insipire wote wanaomzunguka pale nyuma na inakuwa ngumu kuona errors kwa mabeki wote hata kipa so hatuta concede magoli ya kijinga.