Mtaendelea kujisifia 16 unbeaten lakini mlisahau 2018/19 Man city alichukua ubingwa kwa sababu ya ujinga huu huu wa unbeaten, na mnasahau kuwa droo nazo zinazopoteza point nyingi16 Epl matches still unbeaten.
Sio mbaya lakini maana hatujaonyesha uchovu wa kupack bus kama Chelsea [emoji1787][emoji1787][emoji1787], walisakwa mpaka wakapack bus.Ilikuwa lazima autulize kwanza '
LooserfoolsWe chalii wa Chelwowo kuanzia next week utapotea kwenye majukwaa ya watu humu
beki mbovu hasa upande wa Milner na Matip karuhusu goli la kijinga kwa kumpa space Fofen
Sio mbaya lakini maana hatujaonyesha uchovu wa kupack bus kama Chelsea [emoji1787][emoji1787][emoji1787], walisakwa mpaka wakapack bus.
Au January kina Salah wakienda afcon[emoji23]Bora useme wewe....
Siku mkipata majeruhi... Ndio mtajua hamjui.
Mtaendelea kujisifia 16 unbeaten lakini mlisahau 2018/19 Man city alichukua ubingwa kwa sababu ya ujinga huu huu wa unbeaten, na mnasahau kuwa droo nazo zinazopoteza point nyingi
Mfano sisi tumefungwa tumejiuliza tumeshinda tunaongoza ligi, ninyi na unbeaten yenu mko chini yetu, simple maths
Nahiyo shot off target walijitahidi mno alafu et kutoa kwetu draw wanafulahi ili washike nafasi sio yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawakupata hata shot on target hata moja,off target ilikuwa moja.
Wanadalili mbaya sana hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila shaka utakuwa mshabiki wa chelsea wewe yaani unaongoza ligi kwa point moja na wewe unajisifia unaongoza ligi.
Mnababahika sana kukaa juu hapo kwa muda tu,
Kutokufungwa mechi ni dalili moja wapo za kuwa bingwa,maana bingwa anafungwaga mechi chache sana .
Huyo Shityee tumemla mechi tatu Hadi fainali ..nyie kuku mnaweza kufanya Hivi??Ukiwa unafungwa usiwe unapotea jukwaani pimbi wewe na leo huyo mume wako man shity tunambaka
Unaweza ukafungwa mechi chache lkn ukasuluhu mechi km zote na ukaishia kupigwa bao n wengine kwenye ubingwaBila shaka utakuwa mshabiki wa chelsea wewe yaani unaongoza ligi kwa point moja na wewe unajisifia unaongoza ligi.
Mnababahika sana kukaa juu hapo kwa muda tu,
Kutokufungwa mechi ni dalili moja wapo za kuwa bingwa,maana bingwa anafungwaga mechi chache sana .
Sawa boss tuone mtafika wapi..... NyieNyie kuku huu msimu mutatoboka Sana hamuna beki Tena was kuzuia magoli.
Looserfools
Liverkuku
Livapulu
Acha uvivu nenda kaangalia matobo mmeshatobolewa mara 6, hustahili hata kulinganisha defence ya Chelsea na ya kwenu, mayenu tu pale. Beki ni VVD tu wengine wanacheza tu MdumangeWewe mwenye beki nzuri mbona ulipakatwa getoni kwako