Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Ki ufupi bado sijaona timu itakayosepa na huu ubingwa msimu huu maana hata hao Manchester City nao sio ki vile japo wametoka kucheza mechi 2 hivi karibuni tafu sana...Sio mechi I hii tu Mkuu rejea mechi ya Bradford city.
Tangu Ronado atue kwa Stretford End naona kama Salah imeongeza kiwango aisee yaaani wanasema kua bora lazima awashinde waliobora na Salah leo kaonyesha ubora wake...Kwa Pep hii draw ni kama point 3 kwake.
nilitabiri goli mbili ila defence yetu sasa, kina salah wanafunga wao wako bize kuruhusu, Firmino nikiri kuwa amechoka kama sio kulala yoo, aliingia kutukaba, yani ameisha vibaya mnoLeo inahitajika nidhamu sana kwenye ulinzi, narudia tena nidhamu kwenye ulinzi, kosa lolote halitatuacha salama , mbele kule ninauhakika kuna goli 2+
Kenge nyie milner ilitakiwa ale red card ....Kwa Pep hii draw ni kama point 3 kwake.
Leo huu ukuta umekua wa tope kabisa aisee...
Nwa anyday vs Pep pointi moja sio haba.
YNWA
Hongerenu kwa kuanbulia point 1
Bora useme wewe....keita, ox, origi nk hizo ni takataka zingine ambazo hazina msaada wowote kwa timu yani kifupi benchi lipo tupu
beki mbovu hasa upande wa Milner na Matip karuhusu goli la kijinga kwa kumpa space FodenGoli la pili mkuu ni deflection,sijaona goli tulilofungwa hapo la kulaumu beki mbovu.
Goli kama la mo salah alilowafunga man city hilo ndio ungesema beki mbovu .
Tuko vizuri na ubingwa msimu huu tunabeba .
16 Epl matches still unbeaten .
Messi huyu huyu aliye potelea psg?Liverpool bila Salah ni sawa na Dunia bila Messi.
Huruma gani kenge wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa nakuoneaga huruma sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnauanaume gani? Nyie hamna kitu nyie mtaishia hivyo hivyoNyie ng'ombe bora mmetoa sare ili wanaume tubaki juu.
Wanaume tuko juu..... Nyumba yetu kuna mke wetuamefuata.Mnauanaume gani? Nyie hamna kitu nyie mtaishia hivyo hivyo
Huyo Fabinho huyo nimemlaani vikaliTangu Ronado atue kwa Stretford End naona kama Salah imeongeza kiwango aisee yaaani wanasema kua bora lazima awashinde waliobora na Salah leo kaonyesha ubora wake...
Kwa kweli sielewi pamoja na nyomi ya nyumbani hawa jamaa tumewakosa aje na Fabinho pale ndio kafanya aje sasa....
YNWA
Ilikuwa lazima autulize kwanza 'Huyo Fabinho huyo nimemlaani vikali