Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hivi wewe upo dunia ipi ,game imeshachezwa sijui unaongelea ninKwa ile namna PSG anavyocheza lazima akamle Manshiti chumbani kwake.




Hivi wewe upo dunia ipi ,game imeshachezwa sijui unaongelea ninKwa ile namna PSG anavyocheza lazima akamle Manshiti chumbani kwake.




Kwan ww tumekufunga nne ngapi kabla?Zile goli nne tulizowagonga mmesahau au
Akili yako ya kitoto mkuu.
Hiiii, kwani hakuna marudiano huko ETIHAD? Nazungumzia kwamba kama mnajipa hope kuwafunga PSG watakapokuja ETIHAD mtapoteana siku hiyo, amekugonga kwake na atakufuata na geto kwako kukugonga. NyambaaafHivi wewe upo dunia ipi ,game imeshachezwa sijui unaongelea nin![]()
Anfield hapaa last season chumbani kwenuAkili yako ya kitoto mkuu.
Ficha ujinga wako.
Kabishane na Arsenal huko maana mnalingana akili.
Ohooooo Sasa subili utaona Moto utakaowaka ...Hiiii, kwani hakuna marudiano huko ETIHAD? Nazungumzia kwamba kama mnajipa hope kuwafunga PSG watakapokuja ETIHAD mtapoteana siku hiyo, amekugonga kwake na atakufuata na geto kwako kukugonga. Nyambaaaf
Subir weekend acha kujilinganisha natimu kama liverpoolAnfield hapaa last season chumbani kwenuView attachment 1956992
× 10000
.Nov. 24 mnaliwa tena.Ohooooo Sasa subili utaona Moto utakaowaka ...
Hio psg tumewaachia tu ,ilikuwa aibu ,tungefungiwa na uefa ..
Sheria inasema ",it's not fair to smash one team four times consecutively"
Kwa hiyo tukaamua kishia hapo kushusha kipondo
Usibishane na watu ambao ambao hata UEFA yenyewe hawajui Ni niniWewe naona PSG bado kakuwekea kipande .
Messi anakusalimu mkuuMkuu usipende kuwa kilaza sio vizuri .....
Tuna hospital moja ya milembe nafasi ni chache sana ,unavozidi kuchanganyikiwa unatuweka katika wakati mgumu ,tunakutegemea kwenye taifa letu ...
Jaribu kamuone doctor akusaidie ...
Klopp ana kiburi kichwa kigumu kama alichokuwa nacho bashite.Sio kwako Tu ndo kapewa player of the match
Kinacho nishangaza Klopp anapenda kumtoa
Na akimtoa tu tunafungwa sijui why hajifunzi
Makubwa siku hizi unashabikia Man CTY sio Chelsea tena?.umekuwa Malaya wa ushabiki wa mpira-in Nyerere voice!.Ohooooo Sasa subili utaona Moto utakaowaka ...
Hio psg tumewaachia tu ,ilikuwa aibu ,tungefungiwa na uefa ..
Sheria inasema ",it's not fair to smash one team four times consecutively"
Kwa hiyo tukaamua kishia hapo kushusha kipondo
Lini uliona nashabikia wale wavimba majo wa darajan,nakuheshimu Sana mkuu..Makubwa siku hizi unashabikia Man CTY sio Chelsea tena?.umekuwa Malaya wa ushabiki wa mpira-in Nyerere voice!.
Liverpool akiumia Milner ndio naona Kuna pengo... Yule mtu ni mashineMilner acha aitwe Milner, umri is nothing kwenye performance. I mean kama performance ipo njema hata akiwa na 50 yrs acheze tu..
mbona Origi kijana ila kiwango chake cha kifaza faza sana.
Milner acha aitwe Milner, umri is nothing kwenye performance. I mean kama performance ipo njema hata akiwa na 50 yrs acheze tu..
mbona Origi kijana ila kiwango chake cha kifaza faza sana.
Kamroga elliot![]()
Huyo tayar ashakuwaMakubwa siku hizi unashabikia Man CTY sio Chelsea tena?.umekuwa Malaya wa ushabiki wa mpira-in Nyerere voice!.

Lini uliona nashabikia wale wavimba majo wa darajan,nakuheshimu Sana mkuu..
Tengua kauli haraka Sana ,mimi ni shabiki wa Chelsea ????? Unaakili kweliiii ???? ,yaani mimi na akili zangu timamu nishabikie Chelsea ?????,...
Jiaangalie aiseee tutaumizana ,sipendagi ujinga kabisa mimi ,ikiwezekana hata mahakamani tutafika ....yaani mimi ni shabiki wa Chelsea ????????????
Kudadedekii


