The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Nimeongea hili kwenye group moja la wasap.Curtis Jones kwangu ndio MOTM. Dogo anajua sana.
Kwa anayetazama mpira aisee huyu jamaa tutajivunia nae sio mbali.
Our next Coutinho.
Nimeongea hili kwenye group moja la wasap.Curtis Jones kwangu ndio MOTM. Dogo anajua sana.
Klopp in post-match press conference
"Curtis played a good game. He had some problems with his stomach before the game. I told him after the game 'whatever it is, keep it!'"
Curtis Jones kwangu ndio MOTM. Dogo anajua sana.
Jones + Elliot, Neco Williams Liverpool ina bright future
Sio kwako Tu ndo kapewa player of the match
Kinacho nishangaza Klopp anapenda kumtoa
Na akimtoa tu tunafungwa sijui why hajifunzi
Kamroga elliotHuyu msimu huu alikuwa asahauliwe kabisa sema tu Elliot kaumia


Huyu mkongwe huyo akipimwa kurejea pre season anaonyesha na kama vile ana miaka 26.Neco William ana kazi kubwa kuweza kutoboa kwani hata akiumia TAA basi Mzee wa miaka 37 Milner ndiye anayecheza.
Milner acha aitwe Milner, umri is nothing kwenye performance. I mean kama performance ipo njema hata akiwa na 50 yrs acheze tu..Shida ni kwamba Klopp hapendi kupokea mabadiliko ndiyomana unakuta mpaka leo Mchezaji kama Milner anaongezewa mkataba wakati tuna Vijana wengi tu kina Tsimikas, Nat Phillips na Neco Williams hawa wote wanaweza kucover Beki za pembeni.
Hivyo Jones alikuwa aaminiwe moja kwa moja kwa sasa kwani kipaji anacho na ndiyo kwanza anazidi kujifunza.


Kwa hiyo mnacheza fainali ipi ,Kwanini kila. Tulikutana na Porto Lazim twende fainali??![]()





Mkuu usipende kuwa kilaza sio vizuri .....Kwanini kila. Tulikutana na Porto Lazim twende fainali??![]()
Nadhani atatumika kwenye cup comps. Labda pia awe anapewa cameos mara chache chache.Neco William ana kazi kubwa kuweza kutoboa kwani hata akiumia TAA basi Mzee wa miaka 37 Milner ndiye anayecheza.
Wewe naona PSG bado kakuwekea kipande .Mkuu usipende kuwa kilaza sio vizuri .....
Tuna hospital moja ya milembe nafasi ni chache sana ,unavozidi kuchanganyikiwa unatuweka katika wakati mgumu ,tunakutegemea kwenye taifa letu ...
Jaribu kamuone doctor akusaidie ...
Jumapili tunakuja kuchafua hio atmosphere ya anfieldWewe naona PSG bado kakuwekea kipande .
Uwezo wenu mdogo.Jumapili tunakuja kuchafua hio atmosphere ya anfield
Kwa ile namna PSG anavyocheza lazima akamle Manshiti chumbani kwake.Wewe naona PSG bado kakuwekea kipande .
Atatekenywa vizuri tu huyoKwa ile namna PSG anavyocheza lazima akamle Manshiti chumbani kwake.
Zile goli nne tulizowagonga mmesahau auUwezo wenu mdogo.