Keita Kaingia kuhesabu idadi ya Watu waliomo kwenye pitch, nothing else.
Amekujibu fastaMshenzi kabisa kafunga Goli zuri kweli 😂😂😂
Kuna dakika zilipotea kwenye var wakat city wamefunga goalHuyu refa wa mechi ya Manchester city kamaliza mechi dakika 90+8 wakati added minutes zimeonyeshwa +5.
Kwani ni leo au kesho mkuu ..sisi yeyote aje tunampasua tu hakuna namna mkuu.Leo Harry Kane na Son wana jambo lao.
YNWA
Kulikuwa na kama dk 2 za kucheck disallow goal. Alikuwa sahihi.Huyu refa wa mechi ya Manchester city kamaliza mechi dakika 90+8 wakati added minutes zimeonyeshwa +5.
Tukishampiga spurs hawa nungunungu wengine watapata akili mkuu..Labda ya playstation....the blues wapo dimbani kesho
Wamwaga maji sebureni TAA na Robbo wamepumzushwa baada ya UEFAKwahy muda wa kulaumu umekaribia eee
223 wanaonyesha mechi zenye watazamaji wengi, kwa leo mechi ya Liverpool na Crystal Palace ndio yenye watazamaji wengiMechi za Liverpool FC na SUPERSPORT premier league channel 223 wanamkataba wa kudumu?????
Nimekuelewa Mkuu.Kuna dakika zilipotea kwenye var wakat city wamefunga goal