Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yeah inabidi apambane na hao anaowaamini.

Meanwhile hongereni kwa ushindi. Jana pia mmenipa pesa ya bia wiki nzima.

Liverpool won
Man city won
PSG both scored
Ajax won
Borussia Dortmund won

Nimeamka na 450k. Nilijitosa 40k

Kubeti raha sana kama huna stress. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka mkeka hapa ,wacha kujiteknya na kucheka mwenyewe
 
Weka mkeka hapa ,wacha kujiteknya na kucheka mwenyewe
Mkuu mimi kila siku nakula juzi nimempa timu yangu clean shit nikaondoka na 50k. So ni kawaida kwangu kama umakini tuma no ako WhatsApp nikutumie mkeka uone.
 
Mkuu kwenye mpira hakuna chuki wa kudumu. Mpira ni burudani sema tu mashabiki wengi wana chuki binafsi na timu ya Chelsea. [emoji23][emoji23]
Sio chuki mkuu, uzuri wa mpira haswa hapa jukwaani ni zile tambo na matani, ila zinapovuka mipaka hadi kufikia kwenye hatua ya matusi ndio huo utoto na ujinga watu hawapendi.
 
Sio chuki mkuu, uzuri wa mpira haswa hapa jukwaani ni zile tambo na matani, ila zinapovuka mipaka hadi kufikia kwenye hatua ya matusi ndio huo utoto na ujinga watu hawapendi.

Wanashindwa kutofautisha kati ya UTANI na Ujinga/Matusi/Upumbavu
 
Timu yenye mafanikio makubwa katika modern era ni Chelsea pekee na ni lazima ichukiwe mkuu
"Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"

Na hapa ndiyo unathibitisha jinsi mulivyokithiri Utoto vichawani mwenu.

Hii kujigamba Timu inachukiwa unasikia kutoka kwa Mashabiki wa Chelsea tu.

Kwani kuna Mashabiki wa Moja kupenda Timu nyengine?

Kuna Mashabiki wanaochukiana kwenye Timu zao kuzidi Liverpool na Manchester? Umeshawahi kusikia Liverpool au Manchester wakijisifu kuchukiwa?

Hivi nyinyi kati ya Timu hizi za Liverpool, Arsenal, Man U na Spurs ni ipi munayoipenda? Hivyo kuchukiwa sio issue ya Chelsea tu bali kila Timu inachukiwa na Mwenzake.

Acheni utoto wa kujipa umuhimu wa kuwa Eti munachukiwa kwa sababu ya Ukubwa wenu wakati hata Uwanja hamuna Munakodisha.
 

Umeongea maneno ya kutengenezewa Fremu kabisa.
 
We huelewi kitu nyamza pie
Chelsea ndio timu yenye makombe mengi kwenye modern era, ni kipi hujakielewa hapa
 
Duuuh kwa sasa tunakupa ela mwanzo mwisho...
Bet na ile ya bingwa mtarajiwa msimu huu huu 2021 - 2022 ni Liverpool πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.... Tukupe ela ya mwaka mzimaaaa sio wiki..

Tunashukuru kwa pongezi...

YNWA
 
Sio uwanja hawana mbali pia wakihama Stanford Bridge basi na jina la Chelsea wanaliacha wasitumie tenaaa Hahaha yaaani hawa Chelsea Pitch Owners wana miliki naming right ya hii klabu.. Roman amechemka kabisa kuwang'oa aisee ili amiliki vyote peke yake...

YNWA
 
Hapana ya mwaka inaitwa ngumu kumeza.
Ya kila wiki ni tamu sana. Jana Basel kaninyoa nywele [emoji23][emoji23][emoji23]. Walishindwa kufikisha goli moja tu[emoji23][emoji23][emoji23]. Muhindi amekula 5k yangu Jana

Ningelamba leo 620k. Lakini ndiyo ivo mchezo wa kubahatisha[emoji23] next Liverpool akinipa ya mchango wa Harusi nakutumia ya Supu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Duuh kweli upo vzuri kwenye hio field haha full pro yaaani ...
Mwenzio haya mambo ya betting hua siyajui kabisa na sijawai weka bet kwa mhindi aisee..
Liverpool kwa sasa ukimuona VVD, Fabinho, Matip, Salah na Allison ndani wewe ujue ushindi ama sana sana sare ipoo...

Kwa kweli i wish you all the best.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…