Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Ollachugaaa tafadhali waombee hata draw nimeweka 15k ujue
emoji23.png
emoji23.png
[em
Acha wapigwe bana mkuu kwani shi ngapi?? Hahahaha sema nini acha wa droo tuu mkeka usichanike
 
Ila hili benchi hili - no striker!

Aisee Mungu atuhurumie kwa kweli....

1631460468080.png
 
Acha wapige Kelele Salah ndio top scorer

Liverpool ndio bingwa

Hutaki kunya boga.
 
Hii finishing ikiwa clinical zaidi ninaamin huu msimu tutawakimbiza sana tena sana.
 
Hahahaha eti umepata mchango wa arusi haha imekaaaa powaaaaaaaaaaa...

Bila shaka vijana watapambana kusaka ushindi muhimu sanaaa pale Elland Road hua pakiwa na mashabiki sio mahala powa lakini tutakomaa mwanzo mwisho..

Jiadae kula supu aisee tena ya kuku kienyejiiiiiii...

Hakika sioni tena ile gepu ya pointi 10+ msimu huu kwani ushindani upo juu sana EPL....

Hio listi yako imekaa powa so far naona msimamo unaweza ukawa hivi mpaka December 26th
Manchester City
Chelsea
Liverpool
Manchester United
Leicester
Tottenham
Everton

Kuanzia January 2022 onwards ndio tutajua kila mmoja anatafuta kipi aidha EPL trophy ama kubakia Big 4.

YNWA

Mkuu nipo hapa nakunywa fanta orange nasubiri mechi yenu iishe nichukue 250k yangu. Cardiff kashashinda atlentiko madrid, Valencia, lens bado Nice yupo dakika ya 90 anaongoza na liver pia anaongoza kuna dalili zote mimi kutoka na hii 250k.

Upo wapi kesho tunywe supu pale Katalunya Mwenge.
 
Poleni Sana Ndugu zetu huku naona bado magundu ya injury bado yanawakumba....huyo dogo Elliot ni promising kweli isije mtokea km ya Ruben loftus cheek n Chelsea
 
Mkuu nipo hapa nakunywa fanta orange nasubiri mechi yenu iishe nichukue 250k yangu. Cardiff kashashinda atlentiko madrid, Valencia, lens bado Nice yupo dakika ya 90 anaongoza na liver pia anaongoza kuna dalili zote mimi kutoka na hii 250k.

Upo wapi kesho tunywe supu pale Katalunya Mwenge.
Supu kama supu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥....
Numbisa ebu mletee mkuu ryana fan video za magoli aone namna ambavyo vijana walivyo pambana asichane mkeka..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom