Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Edward sio anatoa pesa tutamuonea tu baba wa watu.

FSG ndio kirusi. Na tukizungumziaga usajili ndio tunaletewa mahesabu meeeeeengi yasiyotusaidia Liverpool taasisi kubwa wakope mbona madrid ilikua ina madeni ila makombe waliyachukua.

Wanajitetea sana hawa FSG mpira pesa pesa inaleta watu wakupiga kazi.
Wakope khaaa FSG hio hapo kabisa ndugu.. Hawa wanasema klabu ijiedeshe yenyewe ndio maana ile sera ya sell 1st buy later hawawezi kuicha kamwe maana ishawapa mafanikio ya kuokoa pesa ambazo wangetoa mfukoni ama kukopa...

Hawa wapo tayari kusubiri European Super League ipangawe mikakati ili wapate mkwaja maana wanajua kwa hali ilivyo sasa hatuna mchezaji pale Anfield wa ku command mauzo bei ya £120m+.

Edwards hua anapewa sifa with his shrewd dealing na transfer pale klabuni hivyo na hii inamhusu ndugu.

Kutowauza Origi na Shaqir 2020 kumewapa hasara kubwa sana na kipindi kile kwa wote wangepata almost £30m ama zaidi..

FSG wapo sana tuwe na subira tuone Klopp the magician anatuvusha aje.

YNWA
 
Alison ,firimino ,na fabiho wamepigwa ban hawatakiwi kucheza ndan ya siku tano ...

Waligoma kwenda kucheza timu zao za taifa ..
 
FIFA wameliweka sawa ishu imeisha wanacheza wekedi hii na pia mechi za UCL wanacheza.... Wacheza wa Paraguay, Brazil, Mexico ruksa kucheza.

Ingekua powa sana kwako maana golini angekaa babu Scott Carson na sipati picha mechi yako na Leicester leo ungechezea ngapi....

Babu Scot angadaka vizur ,ni mkongwe ....

Nyie kumkosa Alison , Bobby,na fab walahi msingeweza kumfunga leed
 
Manyumbu wanatakata kwenye msimamo
1631375929719.png
 
Babu Scot angadaka vizur ,ni mkongwe ....

Nyie kumkosa Alison , Bobby,na fab walahi msingeweza kumfunga leed
Firmino kwanza majeruhi hata kesho sidhani kama atacheza..

Allison ni top keeper anahitajika sanaaaa..

Fabinho huyu bado aisee anahitaji real work out apate match fitness ya kutosha.

Captain Marvelous mambo vip?

Leo nimekuja kukutia moyo ukaliwashe moto kwa wale Leeds ili EPL iwe tamu. Safari hii hatutaki yale magepu makubwa makubwa. Natamani competetion iwe kwa hizi timu: Chelsea, Liverpol, Man City, Man u na Arsenal madogo zetu ili Epl iwe tamu

Leo nawabetia ole wenu sasa mfungwe. Jana arsenal, man u, Chelsea, Psg, Ajax, Ranger, Celtic na Zenit wamenipa mchango wa Harusi. Leo zamu yenu kunipa supu ya kesho.

Kila la kheri liverpol
 
Tottenham mshenzi sana, kamkosesha raia 2m kizembe zembe mkeka wa buku
 
Captain Marvelous mambo vip?

Leo nimekuja kukutia moyo ukaliwashe moto kwa wale Leeds ili EPL iwe tamu. Safari hii hatutaki yale magepu makubwa makubwa. Natamani competetion iwe kwa hizi timu: Chelsea, Liverpol, Man City, Man u na Arsenal madogo zetu ili Epl iwe tamu

Leo nawabetia ole wenu sasa mfungwe. Jana arsenal, man u, Chelsea, Psg, Ajax, Ranger, Celtic na Zenit wamenipa mchango wa Harusi. Leo zamu yenu kunipa supu ya kesho.

Kila la kheri liverpol
Hahahaha eti umepata mchango wa arusi haha imekaaaa powaaaaaaaaaaa...

Bila shaka vijana watapambana kusaka ushindi muhimu sanaaa pale Elland Road hua pakiwa na mashabiki sio mahala powa lakini tutakomaa mwanzo mwisho..

Jiadae kula supu aisee tena ya kuku kienyejiiiiiii...

Hakika sioni tena ile gepu ya pointi 10+ msimu huu kwani ushindani upo juu sana EPL....

Hio listi yako imekaa powa so far naona msimamo unaweza ukawa hivi mpaka December 26th
Manchester City
Chelsea
Liverpool
Manchester United
Leicester
Tottenham
Everton

Kuanzia January 2022 onwards ndio tutajua kila mmoja anatafuta kipi aidha EPL trophy ama kubakia Big 4.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom